NEGAN
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,764
- 4,272
Chagua kutokana mahitaji ya kikosi. Kwa haraka haraka beki huna yule beki atakua game changer after all ushampata monster Owen na AMF unaye tayari pedri.Duuh mnazidi kukiwasha kichwa moto😃😃😃
Siku ya selection nitaumiza sana kichwa