Labda unajiuzia mkuu๐๐๐ฎWakuu kikosi hiki kinauzwa 3k, nipite nacho?
View attachment 3333534
Jamaa hajanijibu bado, kama yuko serious nitakuja waonyesha ๐Labda unajiuzia mkuu๐๐๐ฎ
starehe zangu kula, kuangalia movie na kucheza game ๐ ๐๐๐๐ฟWanaupiga mwingi
Kaka me nipo hapa naongeza dau tuu๐๐คฃ๐คฃJamaa hajanijibu bado, kama yuko serious nitakuja waonyesha ๐
Oya hizo Gun unyama sanaUsintishe
View attachment 3333275
Nikisha kata hiyo mikono, hizo gun ni sawa na bureOya hizo Gun unyama sana
Ngoma zipo kwenye PUBGOya hizo Gun unyama sana
Kijana wangu Selikavu kapige huyuNani yupo online tukatest formation yangu mpya ya all out attacking. Ila beki sasa ni uchochoro ukinifunga uwe na huruma๐View attachment 3334014.
Mkuu umejilipua ๐Nani yupo online tukatest formation yangu mpya ya all out attacking. Ila beki sasa ni uchochoro ukinifunga uwe na huruma๐View attachment 3334014.
Kaingia kwangu ngoja anifunge kwanza atakuja ๐Yupo nimemtumia requesr๐
ana kuja, usi kimbie๐๐Yupo nimemtumia requesr๐
Ngoja nifungwe na Selikavu kwanza mkuu.Razorblade kama upo free twende
Niliona umeingia alafu ukatoka...Nani yupo online tukatest formation yangu mpya ya all out attacking. Ila beki sasa ni uchochoro ukinifunga uwe na huruma๐View attachment 3334014.
Mkuu wewe ndo umenipelekea moto aisee ๐Niliona umeingia alafu ukatoka...
Akaja jamaa angu aliyekuwa likizo
Kanipelekda moto๐๐