Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Naona inalag sana sifurahii mechi nimeforteit.Razorblade net leo naona changamoto...
Naona inalag sana sifurahii mechi nimeforteit.Razorblade net leo naona changamoto...
Sema uchezaji wa torres unanifaa sanaWe chukua notes vizuri 😂
Kabisa mkuu kesho tutaenda kakaNaona inalag sana sifurahii mechi nimeforteit.
Torres anajiweza mbona ni vile tu watu wanampuuza.Sema uchezaji wa torres unanifaa sana
Nimeshindwa hata kuelewa kama nimecheza vizuri au bado kazini kuna kazi 😂Kabisa mkuu kesho tutaenda kaka
Me nitaona maana mbadala wa Torres huwa namweka Kane lakin hanipi kile Torres ananipaTorres anajiweza mbona ni vile tu watu wanampuuza.
Hakuna kitu tumefanya leo😃😃😃Nimeshindwa hata kuelewa kama nimecheza vizuri au bado kazini kuna kazi 😂
Unatumia CF wangapi?Me nitaona maana mbadala wa Torres huwa namweka Kane lakin hanipi kile Torres ananipa
Nilitaka kutoka room kabla ya kipindi cha kwanza cha mechi ya kwanza hakijaisha 😂Hakuna kitu tumefanya leo😃😃😃
Wawili mmoj inabid awe mzito mwingine mwepesi...😃😃Unatumia CF wangapi?
Nilikuwa nacheza huku nacheka tuu nasema hapa acha tupoteze muda tuuNilitaka kutoka room kabla ya kipindi cha kwanza cha mechi ya kwanza hakijaisha 😂
Mpira upo golini lakini kipa anashindwa kudaka game inalag mara unasikia sauti ya net 😂Nilikuwa nacheza huku nacheka tuu nasema hapa acha tupoteze muda tuu
🤣🤣🤣Unakuta watu wapo katiMpira upo golini lakini kipa anashindwa kudaka game inalag mara unasikia sauti ya net 😂
Nikajikuta napiga paasi mwenyewe kumbe network mkaa 😂🤣🤣🤣Unakuta watu wapo kati
Hana speed kaka😃😃Selikavu ulikuwa unazitamani sana GP zangu na hatimae nimezitumia, nimeamua kumtafutia Amrabat sub yake.
👇
View attachment 3333135
B2B akipumzishwa anaingia Anchor man🔥
Nimeenda kucheza PUBG net ipo vizur tuuNikajikuta napiga paasi mwenyewe kumbe network mkaa 😂
Ni sub tu huyo 😂Hana speed kaka😃😃
Basi huenda ilikuwa ni wao wenyewe tu.Nimeenda kucheza PUBG net ipo vizur tuu