Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Sawaa the mighty ma serieskaangalie six flying dragons uone uwezo wa panga ndio uta jua hujui.
Sawaa the mighty ma serieskaangalie six flying dragons uone uwezo wa panga ndio uta jua hujui.
I mean no malice to nobodySawaa the mighty ma series
Haya upako ubarikiwe sana 😂Me nakupa upako kaka unakataa View attachment 3333272
Sasa huo siyo mpira mchezaji gani haumii 😂Sawaaa injury itakuwa off🤣
Amina kaka 😃😃Haya upako ubarikiwe sana 😂
😃😃😃Tangu umeanza kucheza kuna mchezaji wako ameumia😃😃Sasa huo siyo mpira mchezaji gani haumii 😂
Kwa mabunda ya dvn timu nzima ingekuwa hospital 😂😃😃😃Tangu umeanza kucheza kuna mchezaji wako ameumia😃😃
Watu wanatembeza buti mzee acha tuuKwa mabunda ya dvn timu nzima ingekuwa hospital 😂
Hizo through ball sio poa 😃Aah sawaa kaka😃😃😃nataka nihamie LBC sasa
Me naendelea kujifunza kaka ✊✊
Game zako ni kukaba sana ukipata through itafika mbele huko..Hizo through ball sio poa 😃
Yupo vizuri japo hana physical contact akiguswa anapiteza mpira. Owen anahitaji space ya ku run ndiyo ana shineGame zako ni kukaba sana ukipata through itafika mbele huko..
Owen wako umemwona lakin 😃japo ndo nimeanza kumtumia kwako
Uchezaji wake ni kama mbappeYupo vizuri japo hana physical contact akiguswa anapiteza mpira. Owen anahitaji space ya ku run ndiyo ana shine
😃😃Mbona kama unataka kunipiga hamsa kaka🤣Nimegundua jinsi ya kukufunga
Sitakiwi kucheza mpira mzuri dhidi yako kutumia mawinga sijui nini. Pia sitakiwi kupoteza mpira kati kati ya uwanja maana ukiupata mpira kati kati pedri/ De jong anapiga through ball moja kwa Torres/Mbappe/Owen kisha wana turn then boom😀.
Solution ni kutumia mipira mirefu na through ball kwa ma forward wangu pia ku overload forward kwa kutumia striker watatu ambao huwezi ku wa mark wote.
Kati ya Nakata na Bergkamp unaenda na nani mkuu??