eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Pre season hukuenda bure kaka 😃😃 nimekula chuma tatu safi kabisa...

Mazoea ya kucheza na Ai 🙌🙌🙌
Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli 😂.

Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
 
Back
Top Bottom