eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Jamaa anaona sifa kukaba 😂

Kama ambavyo Amrabati wako ananitoa jasho
Ubaya ubwela

GqcaGKLWcAAWpX1.jpeg
 
Ukisikia kwamba kikosi hakichezi ni huyu jamaa...

Nilikutana nae kwenye group moja la Whatsapp la Efootball message yake huwa ni hii anatuma group akitaka kwenda Friend match na mtu
Screenshot_20250511-221739_1.jpg

Siku moja nikamwambia twende mkuu... Kama kawaida nikacheki kikosi chake kabla ya game nakuta anatumia Possession game na kikosi chake ni 3050
Screenshot_20250511-221457.png

Nikasema Yes huyu napiga😃😃kuingia uwanjani nilitoka jasho... Jamaa anajua kukaba, kudreble, kupiga pasi na kufunga

Kuja kumchek jamaa ashafika na division 1
Screenshot_20250511-221450.png

Nikahisi anatumia Padi maana niliteseka na kufungwa za kutosha kama kawaida matokeo bila picha ni uzushi🤣🤣🤣
Screenshot_20250429-204631.png

Nikamchek jamaa yupo peace tuu tupiga story akaniambia kaanza kulicheza 2022 alikuwa anajifunza mdogo mdogo mpaka alipofikia hapo...

Kama kawaida nikasema huyu ataniongezea kitu acha niwe nakomaa nae akipata time tunaenda😃😃...

Juzi kati nikamfunga sema alisema concentration ilikuwa ndogo maana alikuwa kazin😃😃hata mimi niliona maana jamaa ni anakaba adi vivuli🤣🤣🤣

Mwisho hili game vikosi havichezi swala kubwa ni wewe unajua kucheza au vindege kama vyangu...

Nishajiona nina safari ndefu sana
 
Ukisikia kwamba kikosi hakichezi ni huyu jamaa...

Nilikutana nae kwenye group moja la Whatsapp la Efootball message yake huwa ni hii anatuma group akitaka kwenda Friend match na mtu View attachment 3331342

Siku moja nikamwambia twende mkuu... Kama kawaida nikacheki kikosi chake kabla ya game nakuta anatumia Possession game na kikosi chake ni 3050View attachment 3331344

Nikasema Yes huyu napiga😃😃kuingia uwanjani nilitoka jasho... Jamaa anajua kukaba, kudreble, kupiga pasi na kufunga

Kuja kumchek jamaa ashafika na division 1
View attachment 3331345

Nikahisi anatumia Padi maana niliteseka na kufungwa za kutosha kama kawaida matokeo bila picha ni uzushi🤣🤣🤣View attachment 3331346

Huyo mkongwe huyo Oliver khan wa mwaka 2020 huko😃 lazima awe master
 
Hata mimi huwa naiona hiyo text jamaa hana mbwembwe text yake ni hiyohiyo kila siku 😂
 
Back
Top Bottom