Huyu babu fundi nyie, natumia AI controlled kuangalia namna mbinu zake zinavyofanya kazi daah ni balaa sijui nikicheza mwenyewe kama nitakuwa na ufanisi ule 😂.Gasperin fundi ana playstyle 2 mwenyewe ningekua na coin ningemnunua
Napenda kocha mwenye playstyle 2 inakuwa rahisi kwangu kubadirisha endapo nitazidiwa ila makocha wengi wanaokuja na booster 2 wanakuwa na playstyle 1.Kwakwel me nataka mwenye booster mbili kwa sasa wa QC
Mpaka sasa nahisi nimeanza kuitendea haki QC peke yake hii LBC bado inanichanganya 😂.Watu wqpo pre season wananoa vikosi sasa hivi 😃
Aah hawa jamaa sio pow alafu wanachukua vikosi vya watu wanakupa ucheze navyo😃😃Oya nipo divison 2 natamani niache jamaa wanawia kila pass yangu😃
Hawa Efootball sijui wanasoma minds zetu nahitaji anchorman wa 100 lakin hawaleti😃😃😃Wa booster 2 wanauzwa 1500 wanakuja na squad kama Arsenal,Bayern
😃😃😃Aliye Pre season ni Razorblade na Gasperini wakeWatu wqpo pre season wananoa vikosi sasa hivi 😃
Ai na wewe ni vitu vitano tofauti...Huyu babu fundi nyie, natumia AI controlled kuangalia namna mbinu zake zinavyofanya kazi daah ni balaa sijui nikicheza mwenyewe kama nitakuwa na ufanisi ule 😂.
Umesahau alichokufanya Alonso 😂.
Wapo mkuu maana kocha anatakiwa awe na ile style zaid ya 70... Below hapo majanga..Napenda kocha mwenye playstyle 2 inakuwa rahisi kwangu kubadirisha endapo nitazidiwa ila makocha wengi wanaokuja na booster 2 wanakuwa na playstyle 1.
Akitokea kocha mwenye booster 2 halafu anatumia playstyle 2(QC & LBC) nitapambana nimpate.
LBC fanya mid block. Control kiungoMpaka sasa nahisi nimeanza kuitendea haki QC peke yake hii LBC bado inanichanganya 😂.
Hapo mbele😃🤲🤲🤲🤲mola tujalie mwisho mwemaTangu nimchukue Gesperin nilikuwa nahangaika kutafuta mfumo ambao utakuwa na ufanisi zaidi katika playstyle zote(QC & LBC), bahati mbaya mfumo wenye huo ufanisi ulikuwepo kwenye update ya 2023 na sasahivi haupo.
4-1-3-2 ndo mfumo wenye ufanisi zaidi kwa QC na LBC, unakupa idadi kubwa kwenye kushambulia na kuzuia pia.
View attachment 3318724
Imenibidi kuutengeneza mwenyewe na nimeujaribu mara kadhaa kupitia AI Controlled na kweli huu mfumo uko vizuri sana kwa hizo playstyle.
View attachment 3318727
View attachment 3318729
Hii ndiyo raha ya pre seoson 😂.
Ndiyo mkuu.Ai na wewe ni vitu vitano tofauti...
Alafu huwa unatumia Smart Assist eeh kwenye game za live??
🤣🤣🤣Kwan hiyo siku ilikuwa ya mkamio wa derby si ilikuwa friendly tuu🤣🤣Umesahau alichokufanya Alonso 😂.
Ndo maana zile through zako za kunyanyua mpira kwa kawaida before hujapiga ningekuwa nimekaba😃😃ila nashangaa tu hiyoNdiyo mkuu.
Bado hawajakidhi vigezo vyangu, hizo playstyle zote ziwe 88 ndo nitapambana kumchukua lakini iwe ni QC na LBC.Wapo mkuu maana kocha anatakiwa awe na ile style zaid ya 70... Below hapo majanga..
Kwa waliopo sasa
View attachment 3318732
Huyu Inzaghi angekuwa na Anchorman ningepambana nimchukue hata kwa kununua coin
View attachment 3318733
Anchorman utasubiri sana nilikaa miezi 3 sina Anchorman ikabidi nimnunue Rodri wa bure. Nina Anchorman 2 tu hadi sasa. Anchorman na defensive Fullbacks sio wengiHawa Efootball sijui wanasoma minds zetu nahitaji anchorman wa 100 lakin hawaleti😃😃😃
Solution hapa ni kununua kocha atakayekuja na squad yote kama akiwa na Anchorman
Mechi ya Alonso day ulinifunga 1 nikakufunga 1 na sare 1 😂.🤣🤣🤣Kwan hiyo siku ilikuwa ya mkamio wa derby si ilikuwa friendly tuu🤣🤣