Hii ni too personal sasa🤣🤣🤣nyash imeingiaje hapa
Huyo nimecheza nae nimeshinda mechi ya kwanza 3.2 ya pili sasa kanifunga 6.0 afu akasepa 😅Achana na smart assist kona zake🙌🙌🙌🙌kuna game nimekufa tatu two goals nimecoinced kwenye kona🙌😃😃
Zile kona ulijaa mwenyewe 😅 mi mwenyewe nashangaa watu wanaruka vileAchana na smart assist kona zake🙌🙌🙌🙌kuna game nimekufa tatu two goals nimecoinced kwenye kona🙌😃😃
😃😃😃Kwa mchezo wako kwa Negan unakufa nyingi 😃😃😃me mbovu bado😃😃😃Huyo nimecheza nae nimeshinda mechi ya kwanza 3.2 ya pili sasa kanifunga 6.0 afu akasepa 😅
🔥🔥🥶😃😃😃Kwa mchezo wako kwa Negan unakufa nyingi 😃😃😃me mbovu bado😃😃😃
Mechi zangu me na wewe.
Cc Razorblade
View attachment 3330409
Hapana ujue mpk ukitaka kupiga kona ikanibid niwashe blue mbili zote ili wajae golini wachezaji wangu😃😃🙌🙌Zile kona ulijaa mwenyewe 😅 mi mwenyewe nashangaa watu wanaruka vile
Haha, ndo namtaka nijifunze kwake ni mtulivu mno akiwa na mpira.😃😃😃Kwa mchezo wako kwa Negan unakufa nyingi 😃😃😃me mbovu bado😃😃😃
Mechi zangu me na wewe.
Cc Razorblade
View attachment 3330409
Afu bado kuna moja iligonga postiHapana ujue mpk ukitaka kupiga kona ikanibid niwashe blue mbili zote ili wajae golini wachezaji wangu😃😃🙌🙌
Kuna namna unapiga kona inakuja kama mshale🤣🤣🤣Afu bado kuna moja iligonga posti
Me ulikuwa hunipi nafasi ya kutulia nianze mashambulizi 😃😃😃nikishika mali tu upo na mpira wa kasi siuwezi mimi😃😃Haha, ndo namtaka nijifunze kwake ni mtulivu mno akiwa na mpira.
Hii mechi umeshinda duh, man of the match Cortois wako saves 10🥶🔥😃😃😃Kwa mchezo wako kwa Negan unakufa nyingi 😃😃😃me mbovu bado😃😃😃
Mechi zangu me na wewe.
Cc Razorblade
View attachment 3330409
Sijaona hiiHii mechi umeshinda duh, man of the match Cortois wako saves 10🥶🔥View attachment 3330411
Haha, zile za kuchora tu sasa sijajua kama ni mguu wa mchezaji ndo unapeleka za nguvuKuna namna unapiga kona inakuja kama mshale🤣🤣🤣