Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,394
Kule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani 😂😅😅 Kule kila mtu ana mpira wake wa kutafutia matokeo asee 😅🔥
Kule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani 😂😅😅 Kule kila mtu ana mpira wake wa kutafutia matokeo asee 😅🔥
Dah huwa nikitoka kule nikahamia friendly nacheza mpira mbovu sana 😅 kila dakika nawaza clearKule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani 😂
Mtu anayecheza na smart assist ni kazi kumkaba we hujui tu😃 umeziba njia zote vizuri mara AI inapiga pass ya juu ghafla 😃 unataka kupiga tackle AI inamsaidia ku dribble kama Messi.Tulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bila kujali mpinzani atakuwaje.
Divison mpira kazi tu ukiremba unafungwa😃Dah huwa nikitoka kule nikahamia friendly nacheza mpira mbovu sana 😅 kila dakika nawaza clear
Leo sipo mtaani kaka nimekuja sehemu sijajua net. Yao ipo vip ngoja nijaribu PUBG nikiona iko fresh nakuchek twendeANYONE TUKABUTUE BUTUE 😀
Mwambie aache ubahili atoe buku 2 hiyo😃Waungishe bhana 😃😃😃 Guardiola mzuri yule😃😃
Pole sana mkuu😃😃 watu wa smart assist wanakusumbua mnoDvn mbona kama kila mtu anatumia smart assist
Okay. Ngoja nifungue game hapa nakupa codeTuguse 2
Sawa mkuu. Ngoja nizame na NEGAN hapaLeo sipo mtaani kaka nimekuja sehemu sijajua net. Yao ipo vip ngoja nijaribu PUBG nikiona iko fresh nakuchek twende
Uzur magoli ya smart assist yanaonekana😃😃Wabovu wengi ndo wanapenda ile ishu, mimi ikitokea nikafungwa hata goli 2 za smart assist naingia settings na mi naweka afu tuoneshane sasa 😄
😃😃😃Watu wamevurugwa mnoKule ndo kuna formations ambazo hazipo na hutokaa uzione kokote duniani 😂
Me nimezima imenishinda😃😃😃Mtu anayecheza na smart assist ni kazi kumkaba we hujui tu😃 umeziba njia zote vizuri mara AI inapiga pass ya juu ghafla 😃 unataka kupiga tackle AI inamsaidia ku dribble kama Messi.
Ilitakiwa wanotumia smart assist wacheze na wenzao wanaotumia smart assist
Mie nikitoka kule huwa naenda kucheza my league au events za AI kwanza 😂Dah huwa nikitoka kule nikahamia friendly nacheza mpira mbovu sana 😅 kila dakika nawaza clear
Hawezi huyu😃Mwambie aache ubahili atoe buku 2 hiyo😃
Me ELeague ya Ai leo nimedraw game zote 10 hukoMie nikitoka kule huwa naenda kucheza my league au events za AI kwanza 😂