Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
Uje unipe tutorial asee nimezipenda.. nilijaribu moja ikakubali kipa hadaki hizo😃😃Haha, zile za kuchora tu sasa sijajua kama ni mguu wa mchezaji ndo unapeleka za nguvu
Uje unipe tutorial asee nimezipenda.. nilijaribu moja ikakubali kipa hadaki hizo😃😃Haha, zile za kuchora tu sasa sijajua kama ni mguu wa mchezaji ndo unapeleka za nguvu
Afu pale kwenye penati niliwaza nimlete kipa wangu nikaogopa 😅
🤣🤣🤣🤣Ningedaka ilikua ni pasi moja shoot goliniAfu pale kwenye penati niliwaza nimlete kipa wangu nikaogopa 😅
Kwenye game plan kule weka players to join attack zile beki zako refu, kama Dijk.. mi nimemuweka Adams, Gravidol na Tchoameni wananisaidia mno mitaa ile.Uje unipe tutorial asee nimezipenda.. nilijaribu moja ikakubali kipa hadaki hizo😃😃
Ee. Nilivokosa ndo nikawaza hivo hivo, ungenifunga goli rahisi sana 😅🤣🤣🤣🤣Ningedaka ilikua ni pasi moja shoot golini
Aah hilo nitafanya namna ya kuzichora sasaKwenye game plan kule weka players to join attack zile beki zako refu, kama Dijk.. mi nimemuweka Adams, Gravidol na Tchoameni wananisaidia mno mitaa ile.
Ningerecord nililete huku😃😃😃sEe. Nilivokosa ndo nikawaza hivo hivo, ungenifunga goli rahisi sana 😅
Afu pale ukipata kona weka 6 Yard Box, ukichora hakikisha ule mchoro unaingia ndani kidogo au unakuwa usawa tu wa wachezaji pale karibu na goli.Aah hilo nitafanya namna ya kuzichora sasa
Aah sawaa sawaa mkuuAfu pale ukipata kona weka 6 Yard Box, ukichora hakikisha ule mchoro unaingia ndani kidogo au unakuwa usawa tu wa wachezaji pale karibu na goli.
Siyo ubahili tatizo hakidhi vigezo vyangu 😂Acha ubahili kaka🤣🤣
B2B wanatembea eneo kubwa na hawachoki.Unapenda sana box to Box.. sema box to Box midfield wazuri ni Amrabat wako wa booster mbili na Kante basi😃😃😃
😂🤣🤣Kuna jamaa alinicholea L kabisa🤣🤣
Kwa sasa sichezi tena dvn mpaka phase nyingine 😂🤣🤣🤣Ngoja nitafute ya div one sasa upate moto vizuri
View attachment 3330383
Tutasubiri.Wakuu huu mwezi nimebanwa sana. Kama kuna anayeweza simamia afanye hivo.
Ila mwezi ujao itakuwa fresh.
Kumbe nyash inaondoa baraka ya mikono kwenye spin 😂
Huyu namtaka 😂😃😃😃Kwa mchezo wako kwa Negan unakufa nyingi 😃😃😃me mbovu bado😃😃😃
Mechi zangu me na wewe.
Cc Razorblade
View attachment 3330409
Uwe unaweka zonal au man to man kwa kiasi inasaidia.Hapana ujue mpk ukitaka kupiga kona ikanibid niwashe blue mbili zote ili wajae golini wachezaji wangu😃😃🙌🙌