eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Kwenye game plan kule weka players to join attack zile beki zako refu, kama Dijk.. mi nimemuweka Adams, Gravidol na Tchoameni wananisaidia mno mitaa ile.
Hii mbaya ikitokea wameokoa halafu mbele yupo target man mwenye speed basi hesabu maumivu.

Huwa nafikiria kuiweka ila nafsi inakataa 😂
 
Matokeo bila picha ni uzushi.

Weka hizo 3-2 na 6-0 tuzione 😂
Haya hapa mkuu 😅🔥
eFootballâ„¢_2025-05-10-23-26-30.jpg
eFootballâ„¢_2025-05-10-23-44-04.jpg
 
Kwa sababu pass accuracy yako kwenye final third ni top notch 🫡 au unatumia WiFi ya voda inaonekana kama hutumii smart assist basi una strong Internet connection kuweza kushikilia mpira na kupiga pass za haraka vile.
Hamna kaka vipasi pasi tu vile nimezoea. Natumia voda, ila bando la kawaida tu.
 
Embu angalia vizuri 😃 me mwenyewe nilihisi unatumia
Haha, ile natumia mara chache sana kaka. Sema uzuri magoli yake yanaonekana tu ile power gauge inakuwa kama inajiboost yenyewe..

Mara nyingi natumia kule efb league ya AI 😅😅 mana kule kukosa goli ni makosa makubwa AI hazina makosa ya kibinadamu kama sisi.
 
Kule nimeganda point 1300 sipandi 1400
 
Back
Top Bottom