eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nimejaribu mara kadhaa na nitaendelea kufanya hivyo ili niachane na matumizi ya smart assist, ila hawa AI naona wako faster sana 😂
Hiyo amua kuanzia leo situmii ukimix me naona hakuna kitu unafanya...

Mfano me nimetoka kucheza na mtu hapa napata shida kwel kufunga kwa sababu nishazosa smart assist kaka
 
Hiyo amua kuanzia leo situmii ukimix me naona hakuna kitu unafanya...

Mfano me nimetoka kucheza na mtu hapa napata shida kwel kufunga kwa sababu nishazosa smart assist kaka
Sijaona utofauti mkubwa kwahiyo hata nisipotumia athari zake haziwezi kuwa kubwa, bado nafanya mazoezi kucheza bila smart assist.
 
Hapa uzalendo umeanza kunishinda, kama ipo ipo tu 😂

Zikifika 10 J3 napita nazo asubuhi na mapema.
IMG-20250510-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom