Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,157
- 10,399
Imekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?Me imenishinda kaka 😃😃
Imekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?Me imenishinda kaka 😃😃
NEGAN kaona coins na wewe umeona GP 😂Me bado kaka hizo GP Zako hazina kazi 😃😃
Na smart assist sijaenjoy game kabisa 😃😃😃Imekushinda kucheza na smart assist au bila smart assist?
Kila mtu anaona anachohitaji😃😃
Mie nilivyoanza kucheza hili game niliweka smart assist moja kwa moja.Na smart assist sijaenjoy game kabisa 😃😃😃
Mie nimesema nazichanga hizo mpaka ziwe nyingi 😂Kila mtu anaona anachohitaji😃😃
Ipo damuni wewe huwezi acha😃😃Mie nilivyoanza kucheza hili game niliweka smart assist moja kwa moja.
Zitumie tu hazina kazi😃😃Mie nimesema nazichanga hizo mpaka ziwe nyingi 😂
Kuna game leo kanifunga Mill broh kuna muda mbappe kapewa pasi kadrible toka katikati ya uwanja hakuna mtu anamkimbiza kafika golin nataka kupiga message ikingia mtandao ukagoma nikakosa goli aseee nilitukana matusi yote🤣🤣🤣Zimebaki points 10 kwenda dvn 1 halafu dakika ya 89 unakosa goli 😂
View attachment 3329188
Mkuu nimetoka kucheza bila smart assist mechi kadhaa kwa upande wangu sijaona utofauti mkubwa.Ipo damuni wewe huwezi acha😃😃
View attachment 3329205
Mbona nazitumia sema ni vile tu hakuna vitu vingi vya kununua.Zitumie tu hazina kazi😃😃
Daah! 😂Kuna game leo kanifunga Mill broh kuna muda mbappe kapewa pasi kadrible toka katikati ya uwanja hakuna mtu anamkimbiza kafika golin nataka kupiga message ikingia mtandao ukagoma nikakosa goli aseee nilitukana matusi yote🤣🤣🤣
Ndo maana nimesema ipo damuni kwako 😃 me naona kama nilishazoea kucheza bila smart assistMkuu nimetoka kucheza bila smart assist mechi kadhaa kwa upande wangu sijaona utofauti mkubwa.
Umepita shop kule kwenye Gp products mpya walizoleta??Mbona nazitumia sema ni vile tu hakuna vitu vingi vya kununua.
Moja ya kitu nilichojifunza ukicheza bila smart assist ni lazima ujue kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi, namaanisha lazima ujue kwenye eneo gani inahitajika kugusa button ya pass na eneo gani inahijika kugusa button ya through.Ndo maana nimesema ipo damuni kwako 😃 me naona kama nilishazoea kucheza bila smart assist
Eeh kaka me ni changamoto hicho adi leo...😃😃..Moja ya kitu nilichojifunza ukicheza bila smart assist ni lazima ujue kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi, namaanisha lazima ujue kwenye eneo gani inahitajika kugusa button ya pass na eneo gani inahijika kugusa button ya through.
Nilipita nikanunua booster tu.Umepita shop kule kwenye Gp products mpya walizoleta??
Nimejaribu mara kadhaa na nitaendelea kufanya hivyo ili niachane na matumizi ya smart assist, ila hawa AI naona wako faster sana 😂Eeh kaka me ni changamoto hicho adi leo...😃😃..
Me position training nanunua mno😃😃😃nataka saliba apate DM 🤣🤣🤣Nilipita nikanunua booster tu.