Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 906
- 2,517
Ahaha sawa mkuu, midaMe nipo kwenye hiace kaka niliingia kupiga penati tuu😃😃
Ahaha sawa mkuu, midaMe nipo kwenye hiace kaka niliingia kupiga penati tuu😃😃
Sawaa kakaAhaha sawa mkuu, mida
Ni njema tu sijui upande wako?Mishe zinaendaje?
Mkuu upo??Ahaha sawa mkuu, mida
Nimespine tatu kaka kuna moja uwanja ukawaka kabisa 😴afu hola😃😃Hata J3 sijafikisha uvimilivu umenishinda, nimespin zote nilizokuwa nazo na nimetoka patupu 😂
Nitatunza coins tu ila hizo free spin ni pata potea, mwenye nacho ataongezewa 😂
Familia kabisa me nimekussuport Nishazimaliza🤣🤣Hata J3 sijafikisha uvimilivu umenishinda, nimespin zote nilizokuwa nazo na nimetoka patupu 😂
Nitatunza coins tu ila hizo free spin ni pata potea, mwenye nacho ataongezewa 😂
😎ndo naingiaMkuu upo??
Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena 😂Nimespine tatu kaka kuna moja uwanja ukawaka kabisa 😴afu hola😃😃
Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt 😅Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena 😂
Eeh familia hakuna kuwekeza kwenye kamari 😂Familia kabisa me nimekussuport Nishazimaliza🤣🤣View attachment 3329986
Mkuu hawa konami wako vizuri sana, hakuna trick ni bahati tu.Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt 😅
Namuuliza kawapataje anipe triki, ananambia bahati tu.
Kwel kaka hakuna namna😃😃Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena 😂
Kawapata wawili tena duh😴Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt 😅
Namuuliza kawapataje anipe triki, ananambia bahati tu.
Tumwachie Negan..Eeh familia hakuna kuwekeza kwenye kamari 😂
Nishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea 😂Tumwachie Negan..
Ila yeye atapata simu yake ya Japan sijui 🤣🤣
Shusha username tutume request mkuuView attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
Dah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwisho😃Nishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea 😂