Efm radio mnakera na miziki ya mnanda

Efm radio mnakera na miziki ya mnanda

Muziki wa bongofleva kwa sasa una tatizo la kupoteza identity... Ukimsikiliza Ali Kiba, Diamond na Shetta ambao ndio hit makers sasa hivi ni kama unamsikiliza Wizkid, Davido au J Martin.

Watanzania taratibu wanaanza kuitafuta identity na radha yao halisi ya nyumbani na polepole huu muziki unaanza kuwaingia.

Weekend iliyopita nilikuwa club kubwa tu nikashangaa inapigwa singeli na club ikaripuka hii ni dalili njema kwa hii genre ambayo ni kama ilitupwa.
 
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo kabisa. Dj gani kakaa huyo hivyo vi miziki vina mahali pake.
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Muziki wa bongofleva kwa sasa una tatizo la kupoteza identity... Ukimsikiliza Ali Kiba, Diamond na Shetta ambao ndio hit makers sasa hivi ni kama unamsikiliza Wizkid, Davido au J Martin.

Watanzania taratibu wanaanza kuitafuta identity na radha yao halisi ya nyumbani na polepole huu muziki unaanza kuwaingia.

Weekend iliyopita nilikuwa club kubwa tu nikashangaa inapigwa singeli na club ikaripuka hii ni dalili njema kwa hii genre ambayo ni kama ilitupwa.

Ina maana visingeli ndo identity yetu?
 
Kwetu mbagala,kwetu mbagala ukija na buti utarudi na ndala..kwetu mbagala saa tisa usiku watu hawajalala..kwetu mbagala
 
Na muhindi ndio baba yetu,muhindi ndio boss wetu nakutiliatilia hapa ni mwendo wa kutoa mikeka[emoji445][emoji445]
Namkamua kanjibahi tunataka manoti...mwendo mwendo wa Ki-vampire yaani mpaka muhindi akituona anagwaya [emoji445][emoji445]
Hii genre inarudi tena baada ya watu kuichulia poa kipindi flani hasa baada Omary Omary kusogea mbele za haki nakumbuka 90's kuna jamaa wakuitwa Midokee alikua anapiga vigoma vya mchiriku kundi la Topaz kama sikosei duh sijui kaenda wapi maana hata vindoo tu alikua anatoa mdundo matata.
Omary Omary
Juma Mpogo
Midokee
Machemba...just to mention few.
 
Back
Top Bottom