Efm radio mnakera na miziki ya mnanda

Efm radio mnakera na miziki ya mnanda

Asee Kuna ule mnanda wa mwaga maji naukubali sana .. Efm msiache hii kitu
 
Lazima kuwe na utofaut bana huu mzika sio wa kutawala station kubwa kama ile
 
Na muhindi ndio baba yetu,muhindi ndio boss wetu nakutiliatilia hapa ni mwendo wa kutoa mikeka
Namkamua kanjibahi tunataka manoti...mwendo mwendo wa Ki-vampire yaani mpaka muhindi akituona anagwaya
Hii genre inarudi tena baada ya watu kuichulia poa kipindi flani hasa baada Omary Omary kusogea mbele za haki nakumbuka 90's kuna jamaa wakuitwa Midokee alikua anapiga vigoma vya mchiriku kundi la Topaz kama sikosei duh sijui kaenda wapi maana hata vindoo tu alikua anatoa mdundo matata.
Omary Omary
Juma Mpogo
Midokee
Machemba...just to mention few.

Sasa hapo si anahamasisha kamali bana.
 
woyooo woyoo hauna , suti kama hiiii huwezi nunua , buti kama hili huwezi nunua,

yaani naona mkongwe msaga sumu nampenda lowasa shabiki wa damu anaanza kufunikwa na madogo kama Man fongo , skide n.k
 
Sasa hapo si anahamasisha kamali bana.

Mbona uko mliko mnahasishwa ngono na pombe au unajisahaulisha?michezo ya Sodoma na Gomora ndio nyimbo zenu..
'Kanye & Kim wanna be' hamuwezi kuelewa huu muziki mzuka wake nyie bakieni huko huko huku tuachieni wenyewe.
Kasikilize goma la "shemeji" la Msaga Sumu upate ujumbe na ladha.
 
Kamali ni dhambi huku hamna kamali unakula kile ulicholipia kihalali
 
woyooo woyoo hauna , suti kama hiiii huwezi nunua , buti kama hili huwezi nunua,

yaani naona mkongwe msaga sumu nampenda lowasa shabiki wa damu anaanza kufunikwa na madogo kama Man fongo , skide n.k

Hamna nyimbo hapo mbona
 
huo mziki una kipindi chake maalum kuanzia saa 2 usiku mpaka saa5 usiku siyo kwamba unapigwa ovyo kama mleta mada anavyolalamika, tukumbuke hata bongo fleva wakat inaanza ilionekana na mziki wa kihuni, lakini leo ni muziki unaopendwa na kila rika. Efm wanajaribu kuinua hii aina ya muzik kutoka kufikiriwa ni muziki wa kihuni na kuufanya kua ni aina ya muziki wa kawaida kama dansi, bongo fleva nk
Na mtoa mada ambacho hajui E-FM imefanya huu mziki uanze kukubàlika kabisa leo hii hata EARADIO wanapiga visingeli...!
 
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo kabisa. Dj gani kakaa huyo hivyo vi miziki vina mahali pake.
Kama wewe sio mzalendo sikiliza redio za nje hujalazimishwa nyie ndio mnafanya mziki wa nyumbani uliwe na dhamani kutukuza wazunguu tuuu
 
ww kama si kibonde sijui... mkuu hii station ni moto wa kuotea mbali ukiwa kitaa ndo habari ya mujini singeriii chini ya dj timba haaaaaaaa huu mchezooo hauhitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Namsikiliza Hapa kicheko na Dj manzi! Hapa...ni hatari!
 
Ndondo linatia wazimu masela msije na ndimu!!

Giddy baba kampa kampa kampa tenaa
 
Mkamuunge mkono manfongo siku ya kiepe mayai kawaalika dereva boda boda mbagala zakiem ni bure hamna kiingilio
 
mtoa mada mimi nakuunga mkono kabisa, me ni fan mkubwa wa e fm lkn kwenye habar ya burudani wanaanza kushuka, yan kuanzia mida ya saa 12 jioni ukufungua e fm wanapiga miziki ya ovyo ovyo tu alaf ni kila siku, inaboa ki ukweli
 
Kabisa mkuu mi nimeleta mada kuokoa.hii station ili iendelee kuwa bora lakin nashambuliwa yetu macho.
 
Naona wanafanya jitihada kuinua huu mziki wa hovyo du hatari sana.
 
Back
Top Bottom