Efm radio mnakera na miziki ya mnanda

Efm radio mnakera na miziki ya mnanda

Kwani hakuna nyimbo ya minanda mizuri au wao miusic department kilanyimbo wanapokea , hata hivyo sizibebdi labda zipo nzuri nitakuja kuzipenda ,lakini ni hii tu ndo ninayo ipenda naipenda yanga shabiki wa jangwani,
 
Ndo maana chura wa snura alipomwagiwa maji ya moto na BASATA watu wengi walilia saana...sasa nimeelewa
 
Wana macho lakini hawaoni
Oooh wanamidomo wanashinwa kuongea...eeh waonyeshe baba waonyeshe...
 
Mussolin5; kwa wasiojua inabidi tuwajuze kuwa hizi nyimbo ndizo zilizoitoa clouds mpk ikafikia hapo ilipo
 
Pole Pole Hauna,Buti kama hii hauna Pamba kama hii hauwezi nunua.
 
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo kabisa. Dj gani kakaa huyo hivyo vi miziki vina mahali pake.
Kwa niaba ya wana...........huu mchezo hauitaji hasira.
 
Back
Top Bottom