godfrey_avya
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 131
- 24
Kwani mbona rahisi tu??
We badili station
We badili station
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo kabisa. Dj gani kakaa huyo hivyo vi miziki vina mahali pake.
hahaha haya bana ila sio zipigwe radion muda mrefu watafute namna nyingine.
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo kabisa. Dj gani kakaa huyo hivyo vi miziki vina mahali pake.
ha ha haNasema mwaga maji mwaga maji nicheze kama kambale dha acha tu
Mnanda ndio muziki unaoelezea maisha halisi ya Watanzania wa hali ya chini.
Kama huutaki si lazima kusikiliza redio hiyo.
How can you hate on S Kide giving you "vitu adimu kama ndala za kuku" ?
Sikiliza wimbo kama "Kazi ya Mkaa", how can you hate on this?
I know right?Just pure talent