Eeh Mungu, Waadhibu vikali wote waliochonga kesi ya Mbowe

Mboe analipia uovu wake.

kuna uovu mwingi aliufanya kwa siri na wazi sasa ulimwengu unamfumdisha.

ni vyema ktk kipindi hiki anacho pitia akatubia.
Angalia unachokisema,wanasema kama hujui ni busara kukaa kimya kuliko kumsingizia au kumkandamiza mnyonge.Kuna mtu alikuwa anakula godtime kama Makonda,jalibu kujifunza hata Kwa mifano
 
Hawa ndio wale waliochekelea enzi za awamu ya tano. Kilichowapa hawatasahau.
 
Angalia unachokisema,wanasema kama hujui ni busara kukaa kimya kuliko kumsingizia au kumkandamiza mnyonge.Kuna mtu alikuwa anakula godtime kama Makonda,jalibu kujifunza hata Kwa mifano
siwezi kumtetea mtu muovu kama mboe ambaye alikuwa anavuruga amani na utulivu wa nchi.
yeyote mwenye tabia kama zake kamwe siwezi kumtetea.

Amani ya nchi yangu ni ya muhimu zaidi kuliko mtu yeyote yule.
 
Tutaomba ufanyike upya uchunguzi kuhusiana na kifo cha Marehemu Chacha wangwe!

Mbowe anajua undani wake vizuri.

Yeye na Deus Mallya wanayo kesi nyingine ya kujibu.

Hata Mbowe analijua hilo,tangu alipoponea chupuchupu na kuokolewa na Polisi kule Tarime. Toka kwenye mazishi ya Wangwe.
Nyoka kabisa wewe, huniulizi kwanin Mbowe hajawahi kushtakiwa mahakama yeyote kwa hiyo hadhithi yako? Waliotengeneza ajali ya Wangwe walitumwa ionekane Mbowe katenda. Ilibumba hiyo Kenge wewe.

Waliotaka kumuuwa Lissueo wanaliwa na mchanga huko lakini yeye yupo anakunywa mvinyo tuu hata kama walimpa kilema. Mungu siyo Athumani
 
siwezi kumtetea mtu muovu kama mboe ambaye alikuwa anavuruga amani na utulivu wa nchi.
yeyote mwenye tabia kama zake kamwe siwezi kumtetea.

Amani ya nchi yangu ni ya muhimu zaidi kuliko mtu yeyote yule.
We Ibilsi ni amani gani iliyovurugwa na Mbowe. Kama kesi hii ni ya Kubumba naomba Mungu asikuache na liroho lako la kishetani.
 
uliwahi kumsikia hata siku moja mke wake anakanusha kuwa sio Gaidi/mhalifu?
wewe ni nani kwa mboe?
kaa kimya hujui unacho kisema.
usifuate mkumbo bila kujua.
 
Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda miuzijaza .

Hawa watu ni wabaya sana wasiokuwa na huruma kwa tamaa zao za madaraka ikiwa kweli wamembambikizia Mhe Mbowe kesi. Nasema na naamrisha nguvu za Majeshi ya Mungu yashughulike nao mara moja na wote pamoja na vizazi vyao. Na ikiwa Mbowe alifanya vitendo vya kigaidi basi Mungu ashughulike naye mara moja.

Hawa watu kama kweli wametenda uovu huu kwa makusudi basi wafe wote na waangamie na vizazi vyao. Huwezi kumsingizia kesi kubwa kiasi hiki mtu ambaye hana skendo hata ya kuchapa mtu fimbo katika mahakama yeyote. Hawa ni watu wa ibilisi , Mungu asijue maombi yangu ikiwa Mbowe hakutenda Ugaidi wowote. Mungu ni wa wote, ana huruma na anasikia maombi.

Hakuna faida yeyote katika taifa kumsingizia Mbowe kesi, hakuna faida yeyote ya kumlaza Mbowe magereza na kumpotezea muda wake ikiwa hakutenda kosa. Kumfunga Mbowe hakutasaidia chochote zaidi ya chuki katika taifa. Kwa mantiki hiyo nawashtaki kwa Mungu ikiwa mashtaka haya ni ya Uongo na atatenda. Nitafunga na kupiga magoti Mbele za Mungu juu ya hili.
Rejea msitari huu katika kitabu kitakatibu cha biblia, unasema hivi, Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao
 
aise!
atalipia hapa duniani na mbele za Mungu.
anaponzwa na uchu...alidhni uingozi unatafutwa kijnga namna hiyo......sasa yamemtokea puani.
Unajua hawa jamaa zetu wanaamgalia upande wao tu.

Lakini kuna mengi pia wameyafanya nyuma ya pazia na iko siku wenyewe wakigombana mungu atamfunua mmoja kuyatoa hadharani.
 
Nyoka kabisa wewe, huniulizi kwanin Mbowe hajawahi kushtakiwa mahakama yeyote kwa hiyo hadhithi yako? Waliotengeneza ajali ya Wangwe walitumwa ionekane Mbowe katenda. Ilibumba hiyo Kenge wewe.

Waliotaka kumuuwa Lissueo wanaliwa na mchanga huko lakini yeye yupo anakunywa mvinyo tuu hata kama walimpa kilema. Mungu siyo Athumani
Kwa hiyo Mbowe anakunywa mvinyo Segerea?

Mambo yako wazi na Deus mallya akibanwa atasema vizuri.
 
Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda miuzijaza .

Hawa watu ni wabaya sana wasiokuwa na huruma kwa tamaa zao za madaraka ikiwa kweli wamembambikizia Mhe Mbowe kesi. Nasema na naamrisha nguvu za Majeshi ya Mungu yashughulike nao mara moja na wote pamoja na vizazi vyao. Na ikiwa Mbowe alifanya vitendo vya kigaidi basi Mungu ashughulike naye mara moja.

Hawa watu kama kweli wametenda uovu huu kwa makusudi basi wafe wote na waangamie na vizazi vyao. Huwezi kumsingizia kesi kubwa kiasi hiki mtu ambaye hana skendo hata ya kuchapa mtu fimbo katika mahakama yeyote. Hawa ni watu wa ibilisi , Mungu asijue maombi yangu ikiwa Mbowe hakutenda Ugaidi wowote. Mungu ni wa wote, ana huruma na anasikia maombi.

Hakuna faida yeyote katika taifa kumsingizia Mbowe kesi, hakuna faida yeyote ya kumlaza Mbowe magereza na kumpotezea muda wake ikiwa hakutenda kosa. Kumfunga Mbowe hakutasaidia chochote zaidi ya chuki katika taifa. Kwa mantiki hiyo nawashtaki kwa Mungu ikiwa mashtaka haya ni ya Uongo na atatenda. Nitafunga na kupiga magoti Mbele za Mungu juu ya hili.
Taarifa za kiroho zinadokeza kwamba hawatavuka 2023
 
uliwahi kumsikia hata siku moja mke wake anakanusha kuwa sio Gaidi/mhalifu?
wewe ni nani kwa mboe?
kaa kimya hujui unacho kisema.
usifuate mkumbo bila kujua.
Aliwahi kuitwa polisi au mahakamani?. Huelewi kitu unapuyanga tu kaa kimya
 
Kwa hiyo Mbowe anakunywa mvinyo Segerea?

Mambo yako wazi na Deus mallya akibanwa atasema vizuri.
Huyo deus ni Marehemu? Kama yupo mbona haendi mahakamani? Mmekalia unafki unakfi ,uzabina uzabina kila siku na mafuvu ya vichwa utafikiri yamebeba pombe ndani.
 
Sura zao mbele ya jamii zinawasuta.
Hata ongea yao ni ya aibu na ukandamizi
Tembea yao imejaa kibri, ukatili na husda
Wako ktk kesi wakilipwa pesa za kutesa watu
Wanaishi na kula ktk uovu wa kutisha na wamevimbiwa.
Ghadhabu, hasira na upanga wa moto wa Mwenyezi Mungu utaandamana nao hadi kiyama chao kitakachojaa mateso.
 
Back
Top Bottom