Eeeeh mungu nisamehe

Eeeeh mungu nisamehe

yep,
akafute kwanza maziwa ya mamaye mdomoni, inaonekana bado kinda ........

Mpwa chukulia poa...
Mmetofautiana padogo sana, inabidi tukae sehemu yenye nyama choma na vinywaji moto na baridi, unajua tukifahamiana kwa sura mara zote tofauti zetu zote za mtandaoni tunazisahau, mi ntaarange tukutane na kina pearl na washikaji wengine wengi tu.. sio kufanya kesi ila kula hiyo kitu inaitwa nyama choma na vinywaji, tutafahamiana naurafiki wetu utadumu na tutakuwa kama ndugu wa familia moja.
 
nimekupenda sana kwa maoni haya.

muulize kuwa yeye na BF/dume lake wakifanana nani ataumbuka kubeba kitambaa???????????

ajitoe JF, inaonekana haiwezi, akakue kwanza huyo dogo

hivi ni tatizo la lugha (kutojua matumizi sahihi) au mazoea ya kutumia lugha kimakosa???

anyway mi najaribu kulipinga wazo la chuki kwa upendo na wazo la vita kwa wazo lenye nguvu zaidi la amani
 
Najua mm ni mtenda dhambi,tena umesema tuwasamehe na kuwaombea,kln Mungu kuna mtu ananikwaza sana Hapa Jf,kwann kila mara anakuwa tofauti na mawazo ya wenzie?Mungu najua sisi sote ni mfano wako tena umesema tutakuwa vichwa na wala si mkia,mbn yy anakuwa mkia?kwakweli sitaki hata kuchangia mawazo yake tena na wala sitaki hata kugombana nae naomba uniepushe nae maana ulisema tuikimbie dhambi hata kwa miguu yetu,nitajitahidi kumkwepa maana nisipofanya hivyo atanikwaza sana.Ameen
Je na ww anakukwaza?unafanyaje?muombee tu

Kuna Functionality Moja kwenye JF inaitwa IGNORE LIST sasa waweza kumuweka huko mtu ambaye hutaki kabisa kusikia comment zake sasa kama amekuudhi kiasi hicho Just Create your list and add HIM/HER utakuwa umemaliza kazi
 
Hizi salasala za kinafki ziishie huko makanisani, hapa jf ni ya mathink tank, wadadisi wasio na chuki wasioburuzwa na imani za dini. Free and independent discussion
 
Mungu hawezi kukusamehe kwa sababu hayupo.

Inabidi ujisamehe wewe mwenyewe kwa hii intolerance inayo border chuki, na uweke mkakati wa kuishinda.

Kama ulivyoambiwa juu hapo, ni muhimu kujua kuishi na watu tofauti, ama sivyo utashindwa hata kufanya kazi maana hata maofisini surely kuna watu tofauti sana, kwa mfano, wewe unaomba kwa mungu halafu mimi nakwambia hakuna mungu, tayari tofauti.Kama ukiwa unasusa kila mara unapokutana na watu tofauti utasusa kila kitu na kujifungia nyumbani kwenu, na hata huko hutakubaliana kila kitu na ndugu zako.

I shudder to think what you will do next.

Kwa hiyo get a life na achanana kuwa overly obsessed na watu.It is a big bad world out there.
 
tumekwishamaliza tofauti zetu na tuesameheana. sote sasa tuna amani.

"Hweri wenye rehema, maana hao watapata rehema. heri wapatanishi, maana hao wataitwa watoto wa Mungu (Matayo 5: 5-6)" Mungu awabariki nyote
 
mwambie kwa ukarimu tu usinyamaze utaendelea kukwazika.
 
Unajua nini, watu wengine wanajua watakuwa ma'star kwa kukwaza wengine...hawajui kwamba hawawezi kwenda mbali na staili yao hiyo YA KUNGA NA GUNDI...Mimi leoleo nimekuwa discriminated na mtu huyohuyo tajwa!...lakini mwisho wake ni mbaya...!
 
Pole dia
unajua nini, watu wengine wanajua watakuwa ma'star kwa kukwaza wengine...hawajui kwamba hawawezi kwenda mbali na staili yao hiyo ya kunga na gundi...mimi leoleo nimekuwa discriminated na mtu huyohuyo tajwa!...lakini mwisho wake ni mbaya...!
 
Unajua nini, watu wengine wanajua watakuwa ma'star kwa kukwaza wengine...hawajui kwamba hawawezi kwenda mbali na staili yao hiyo YA KUNGA NA GUNDI...Mimi leoleo nimekuwa discriminated na mtu huyohuyo tajwa!...lakini mwisho wake ni mbaya...!

mi kuna siku nilikuwa namkwepa mtu wangu humu siku nzima lakini jioni nilishindwa kuvumilia nikmwambia aniambie kama nin deni nilipe..........sometimes its just too much and u cant bear with a person lakini ndo hivo tena penye wengi kuna mengi brodah!!!
 
Some people have a lot of time in their hands..lol
​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom