Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,702
- 218,230
Hivi ndivyo ilivyokuwa
Ya nini tena ?Mi5tena
Nimekumbuka tu wazee wa atake asitake tutamwongezea mudaYa nini tena ?
Chadema watachukizwa na hili
Mambo yenu huko Chama Cha Maparachichi Chadema inahusikaje? Ukiwa kwenye siku zako unaropoka sana wewe dadaChadema watachukizwa na hili
Huu ndiyo utu na siyo kuwaziana mabaya. Uhai anatujaalia Mungu. Afya njema inatoka law Mungu. Tusiombeana mabaya tupendane kama watoto wa mama moja.
Kweli kabisa mkuu, umenena vema. Upendo utawaleHuu ndiyo utu na siyo kuwaziana mabaya. Uhai anatujaalia Mungu. Afya njema inatoka law Mungu. Tusiombeana mabaya tupendane kama watoto wa mama moja.
Hatina ya mtu anaijua MUNGU pekeeKweli nimeami kuwa na afya sio uzima na maradhi sio kifo
Very true mkuuHuu ndiyo utu na siyo kuwaziana mabaya. Uhai anatujaalia Mungu. Afya njema inatoka law Mungu. Tusiombeana mabaya tupendane kama watoto wa mama moja.
Mungu ana maguvu sana.(in mwana FA voice)aliyekuwa "anajinyea" kaenda kumuhani mpiga push up!