Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

lowasa inaonesha kuna watu wanamuogopa vibaya! kwa mimi nijuavyo, mtu kama hana madhara kwako hawezi kukuumiza kichwa
 
Yaani Lowassa kama Yesu..daaahh...kila Mkoa watu wanasherehekea...ni shangwee... huyu Rais wa wananchi kupitia Chadema, Ukawa, yaani ushindi ni mkubwa sanaaaaa....Ukawa very genius
 
unajua hata kijiweni wavuta bangi akitokea mvuta bangi mpya akajiunga nao hawawezi kumpa uongozi kama wavuta bangi hawawezi , ndugu zetu wa chadema wanawaza nini ....anyway mimi nawaza tu ...maamuzi magumu yanaweza kuwa mabaya pia ..mbowe kafanya maamuzi ya kibishara si ya kukomboa wananchi
 
tiss wamejipa majukum mazito hata wasiyoweza

Huna unachokijua na Kazi ya hao jamaa ni ya KUTUKUKA ndani na nje ya nchi. Vinginevyo wasingekubalika sana Israel, China, Uingereza na Marekani hadi wanaamua kufanya exchange programs na TISS. Hivi mzungu huwa anamkubali mwafrika tu mjinga mjinga? Chezea IDARA au TAASISI zote hapa Tanzania ila IHESHIMU TISS.
 
kwa hisani ya H20

Kufuatia mwamba wa Kaskazini kuhamia upinzani, breaking news hiyo iliwastua sana Mkulu na Maza na hivi ndivyo ilivyokuwa.
Mkulu: Baby, vijana wamenitaarifu habari za nyumbani kuwa ni nzuri ila kuna mambo yamenistua
Maza: Jamani baba Wani vipi tena, kitu gani kimekustua?
Mkulu: Si huyu aliyekatwa, mwamba wa kaskazini?
Maza: Kafanya nini tena?, kashtaki mahakamani?
Mkulu: Hapana
Maza: Kaharibu tingatinga?
Mkulu: Hapana
Maza: Kafanyaje
Mkulu: Duh, kanichanganya kabisa. Si kahamia kule UKIWA
Maza: Yallllahh, toba. Eh, ya kweli hayo?
Mkulu: Kweli kabisa baby yaani hata hii PHD sina hamu nayo tena, sijui nimfanyeje aaarrrrgggggg.
Maza: Tulia mpenzi hata mie zimenishtua sana. Sasa itakuwaje
Mkulu: Atagombea
Maza: Yaani ile safari iliyoishia Dodoma imenza tena?
Mkulu: Ndiyo hivyo nasikia kajibu kuhusu Richm*nd eti oda zote zilitoka kwangu. Wallah sijui nifanyeje? Hata wale
vijana wangu akina Nepi hawataweza kujibu mapigo na Kinanda sijui yuko wapi, kwanza nasikia tingatinga
linajiendesha lenyewe. Hii ni hatare manake linaweza kuparamia nyumba za watu na kuleta maafa sana.
Maza: Itabidi tukatishe safari haraka hali isije kuwa mbaya zaidi.
Mkulu: Baby achana nao tule nchi si unaona tumekuja na huyu bwana mdogo Ally, manake alipania sana hii safari.
Tumalize ziara yetu then tutalikabiliana nalo huko huko tukifika. Ila nitawaambia waitishe press conference ili
kuwashukuru wana habari walivyoshiriki kuripoti mkutano wetu kule makao makuu.
Maza: Yani Reg*ina awe festi ledi? Kweli mwaka huu ni wa hasara kabisa. Kama ni kilimo hapo mkulima kala mbegu.
Duh yule dogo wetu Member aliharibiwa mambo yake na huyu wa kaskazini. Na sasa tingatinga naye
anatishiwa? Maskini Shosti wangu Jenet anaweza kuukosa ufesti ledi eeehh?
Mkulu: Usijali nitajua la kufanya. Saaasa lile goli la mkono sidhani kama kuna mshambuliaji yeyote kwenye timu ya
Umoja ni Ushindi ataweza kulifunga. Huyu Nepi ye ni maneno tu, kama ni mshambuliaji atakuwa ni yule
Torres wakati akiwaChelsea. Kinanda ni sawa na Drogba wa sasa, yaani wote wamechoka.
Maza: Ina maana mafuriko hayazuiliki kwa mkono? Hata hili tingatinga nalo haliwezi kuchimba mitaro na kuelekeza
maji mtoni?
Mkulu: Baby nimeshakwambia tingatinga bila dereva haliendi, aaahh! Mwaka wa hasara huuu. Ngoja nimalize mhula
wangu niikapumzike Mzoga kuleeee. Ila hata huko lazima akatwe tu hamna jinsi
Maza: Umekumbuka usemi wa PM mtoto wa mkulima wa kukatwa eeeeh.
Mkulu: Nammiss sana mzee wa kulia lia. Yaani hata alivyokatwa alilia maskini duh! kweli mwaka huuu kazi ipo
Maza: Kwani bebi si uliongea na wa Kaskazini kwamba lazima wote waliokatwa wajiunge na tingatinga?
Mkulu:Achana naye sijui amekula maharage ya wapi yule? anaongeaongea ovyo tu, nazidi kumdharau, wala si rafiki
yangu tena, eti nimehusika na Rich, eti alitaka kuikatilia mbali Rich nikatoa oda. To hell I dont care. Tulale
baby:
Maza: Ok baba wani, mpenzi wangu usijali, ila lifanyie kazi hilo, tutaumbukaje? Lala mpenzi, I love you. Mwaaaaaa!
H20 is a genius.

Anapaswa kuandika scripts za sinema kwa kweli.

Big up.
 
Last edited by a moderator:
hata osama bin laden alitumiwa na U.S.A walipo zingua aliwa rudi .lowasa ata warudi nyie si mmemzingua
 
Am just Curious: hivi hawa viongozi wakuu wastaafu hawana kinga dhidi ya mashtaka???

Wanakuwa na kinga wakiwa madarakani tu.

Lakini hakuna mkulu yeyote alieko madarakani atakaeidhinsha kushtakiwa mkulu wa zamani kwa sababu hiyo itaanzisha precedence na kuwa miaka ya mbele yeye pia anaweza kushtakiwa. Kinaitwa OLD-BOYS Club.

However, mwananchi mwengine yeyote wa kawaida mwenye ushahidi wa kutosha anaweza kufungua mashtaka binafsi.
It is an uphill struggle.

Mara nying haya madhambi ya zamani yanasukumiwa tu chini ya zulia na kusahauliwa au kutoshughulikiwa.
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesseeeeee kidum chama cha mapinduz daimaaaaaaaaaaAa
 
Siasa za msimu huu zishakata appetite yangu ya bata...........sina hamu.........

Basi sikiliza wimbo wa Chrisitian Bella "Nala ng'ombe siku hizi sili bata......Nikichoka kulala nahitaji kupakata...."

Just kidding.
 
Huna unachokijua na Kazi ya hao jamaa ni ya KUTUKUKA ndani na nje ya nchi. Vinginevyo wasingekubalika sana Israel, China, Uingereza na Marekani hadi wanaamua kufanya exchange programs na TISS. Hivi mzungu huwa anamkubali mwafrika tu mjinga mjinga? Chezea IDARA au TAASISI zote hapa Tanzania ila IHESHIMU TISS.
na kama wewe ni mmoja wao,basi TISS inabidi isafishwe ili kuondoa mapopoma.mana hakuna namna nyingine.
 
Na yeye mzee El ataifufua ile maiti ya GAVANA iliyozikwa marekani iliyokua na uraia wa nchi mbili na bado ikipewa majukumu tz kinyume cha sheria TISS hawakuona lakini mzee ushaidi anao na video anayo maiti inaongea baada ya kuwa imezikwa. Karibuni tuanze season mpya pedwa.
 
CCM acheni vitisho bana....

Vile vitisho vya Kizamani eti ukihamia upinzani TRA watakuja kukufilisi mali zako kwa kukubambikia kodi kubwa kwenye mabiznee yako.

Mara utabambikizwa kesi, basi watu wakawa wanaogooopa
 
Hao unaowaita Tiss ni lipi wameweza kulifanya na kufanikiwa ktk nchi hii kwa miaka kumi ya jk, wameishindwa kuisambaratisha chadema kwa njia yoyote ile leo wataweza, it is too late to wash.. while the ..... has gone.
 
Kama lowassa hafai CCM iweje mnaanza kulia lia kama mapaka shume.

umesikia kiongozi yeyote wa ccm hata wa ngazi ya mtaa anaehangaika na lowassa tokea wamalize kazi dodoma! ni nyie ndio mnaweweseka na kumuona wa mana sababu hamjawahi kuwa nae,lakini time will tell,mtamfahamu tu na mtakuja hapa kulia
 
Lowasa katemwa na CCM, Mbowe kalamba mshiko, Lowasa hata kuongea sawa wala kutembea sawa hawezi, tazama hata anapopungia watu mkono, vidole havifunguki.

Kama nyinyi mmemchukuwa mgonjwa ili awe Rais wa Tanzania basi mmepotea sana step, lakini kama mmempokea kumlia fedha zake tu, hapo nawapongeza mmedhihirisha kweli ni wachagga.

Mgonjwa mmoja aliyetemwa na CCM ni mbora kuliko chadema yote.

haa haa kwani huyu aliyepo ni mzima?
 
haa haa ccm wamechanganyukiwa balaa. na kwa taarifa yao wafuasi wwengi wa lowasa wamebaki ccm ili kuisambaratisha zaidi. yetu macho..
 
Mtoa mada ni wazi unaota...huku ukikoroma kama gari moshi la mizigo !!

Wananji hatuhitaji TISS kuanika mauozo yenu pia maana km utajiri na mali nje tunazijua pia....achilia mbali mauaji ya ndg zetu zeruzeru.

Zitapigwa safari hii hatutushiki na nyaau...! Damu za akina Mwangosi zitawatafuna matezi yote..
 
Back
Top Bottom