Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Mkuu Informer umetiririka vizuri, ila umeingiza upepo hapo kutushirikisha mbinu za TISS tunailelewa fika kuwa hao ni kitengo cha CCM wacha wakae na mwenyekiti wao waskype na kutumia lolote wawezalo ila ccm imekwisha kazi.
 
ohh eti kuna tetsi sla kajiuzuru...sisi tiss tunajua ohh sijui wingereza na marekani..oohh kuna mikanda sijui video ..ohh mahakama itamuwekea pingamizi jaribuni muone....tiss gan unafsnya kazi kwa kubahartisha huna uhakika?...usidanganye watu hapa kwa kujifanya unajau mambo kumbe masizi tu..kwa taarifa yako dr slaa yuko imara fiti ndnai ya ukawa na kwa sasa anafanya maandalizi ya mwisho mwisho .....

safari hii mtaisoma namaba..kabla ya sadaka ukawa watakuwa ikulu..namaanisha kwa wale watakaoenda ibaada ya asubuhi siku ya uchaguzi kabla ya sadaka ukawa watakuwa ikulu

11193417_876055995819427_948190372642078285_n.jpg


hii picha ni ya leo...slaa akiwa ofcn
 
Ccm mmeshikwa pabaya yote haya ni kuhangaikatu, watanzania wameamua mabadiliko na hayazuiliki lazima yaje kwanjia yoyote ile...
 
STOP KIDDING YOUR SELF!!!
HAKUNA HATA MGOMBEA MMOJA WA CCM KATI YA WAGOMBEA WOTE 38 ALIYERIDHIKA NA MCHAKATO WA KUMPATA RAIS /

UONEVU WA KIPUMBAVU MPAKA LINI?

CHAMA CHA KISEBULENI HICHO MAAMUZI YAKE NI MPAKA MAMA NA WATOTO WARIDHIE NA SI VIONGOZI WA CHAMA /

CCM IPO MIFUKONI!!

CCM HII SIO ILEEEE!!!

CCM HII IMEJAA CHUKIII,VISA,VISASI




ALIYE JITOA MUACHENI AJIVINJARI CHUKI YA NINI????

AMEKUACHIENI LICHAMA LENU NONGWA YA NINI!!!!

CCM JIPANGENI KIUSHINDI FULL STOP

ii
 
Nyie mlimkata...sasa mbona vijambio vinawawasha?tukutane October tuwanyoe vusi kwa chupa
 
Foul air, Empty; Ujinga mtupu, Bs. Eti TISS. tiss kitu gani wale vibogoyo, kazi yao kung'oa watu meno na kucha na kupakia Twiga kwenye ndege za waarabu; TISS my foot!

If you are men enough thubutu, maana kiendacho hurudi; EL ana dossier za kila gamba na nyingine kibao anazo Dr Slaa na michepuko kutoka tiss inashusha mtaa wa Ufipa; mwaga mboga tutamwaga ugali; Bs
 
Tulishasema lowasa kamwe hawezi kuwa rais ktk nchi yoyote ile hapa dunian.

Na chadema imejiuwa yenyew kwa kukaribisha makapi

Mtanyooka tuu ata Jakob Zuma alizushiwa sana kubali tyu huyo ndo rais wako kima ww
 
Wewe acha propaganda, kama hawamhofii kwanini wanakusanya huo ushahidi hewa..!? au wamekutuma ili na wewe upewe cheo?
 
wakimwaga mboga, Lowasa atamwaga ugali!!

dare him!!!
 
mleta mada hongera kwa kuja na "mkwara mbuzi".TISS tangu lini inafanya kazi kwa maslahi ya kujenga upinzani?.huo uongo wa mchana kweupe kadanganye watu wa kizazi cha analogia sio sisi wa kizazi cha digitali.
 
Tulishasema lowasa kamwe hawezi kuwa rais ktk nchi yoyote ile hapa dunian.

Na chadema imejiuwa yenyew kwa kukaribisha makapi

Ulisema na nani???nyie kama kina nani???mlisemea msoga ua?
 
kwa hisani ya H20

Kufuatia mwamba wa Kaskazini kuhamia upinzani, breaking news hiyo iliwastua sana Mkulu na Maza na hivi ndivyo ilivyokuwa.
Mkulu: Baby, vijana wamenitaarifu habari za nyumbani kuwa ni nzuri ila kuna mambo yamenistua
Maza: Jamani baba Wani vipi tena, kitu gani kimekustua?
Mkulu: Si huyu aliyekatwa, mwamba wa kaskazini?
Maza: Kafanya nini tena?, kashtaki mahakamani?
Mkulu: Hapana
Maza: Kaharibu tingatinga?
Mkulu: Hapana
Maza: Kafanyaje
Mkulu: Duh, kanichanganya kabisa. Si kahamia kule UKIWA
Maza: Yallllahh, toba. Eh, ya kweli hayo?
Mkulu: Kweli kabisa baby yaani hata hii PHD sina hamu nayo tena, sijui nimfanyeje aaarrrrgggggg.
Maza: Tulia mpenzi hata mie zimenishtua sana. Sasa itakuwaje
Mkulu: Atagombea
Maza: Yaani ile safari iliyoishia Dodoma imenza tena?
Mkulu: Ndiyo hivyo nasikia kajibu kuhusu Richm*nd eti oda zote zilitoka kwangu. Wallah sijui nifanyeje? Hata wale
vijana wangu akina Nepi hawataweza kujibu mapigo na Kinanda sijui yuko wapi, kwanza nasikia tingatinga
linajiendesha lenyewe. Hii ni hatare manake linaweza kuparamia nyumba za watu na kuleta maafa sana.
Maza: Itabidi tukatishe safari haraka hali isije kuwa mbaya zaidi.
Mkulu: Baby achana nao tule nchi si unaona tumekuja na huyu bwana mdogo Ally, manake alipania sana hii safari.
Tumalize ziara yetu then tutalikabiliana nalo huko huko tukifika. Ila nitawaambia waitishe press conference ili
kuwashukuru wana habari walivyoshiriki kuripoti mkutano wetu kule makao makuu.
Maza: Yani Reg*ina awe festi ledi? Kweli mwaka huu ni wa hasara kabisa. Kama ni kilimo hapo mkulima kala mbegu.
Duh yule dogo wetu Member aliharibiwa mambo yake na huyu wa kaskazini. Na sasa tingatinga naye
anatishiwa? Maskini Shosti wangu Jenet anaweza kuukosa ufesti ledi eeehh?
Mkulu: Usijali nitajua la kufanya. Saaasa lile goli la mkono sidhani kama kuna mshambuliaji yeyote kwenye timu ya
Umoja ni Ushindi ataweza kulifunga. Huyu Nepi ye ni maneno tu, kama ni mshambuliaji atakuwa ni yule
Torres wakati akiwaChelsea. Kinanda ni sawa na Drogba wa sasa, yaani wote wamechoka.
Maza: Ina maana mafuriko hayazuiliki kwa mkono? Hata hili tingatinga nalo haliwezi kuchimba mitaro na kuelekeza
maji mtoni?
Mkulu: Baby nimeshakwambia tingatinga bila dereva haliendi, aaahh! Mwaka wa hasara huuu. Ngoja nimalize mhula
wangu niikapumzike Mzoga kuleeee. Ila hata huko lazima akatwe tu hamna jinsi
Maza: Umekumbuka usemi wa PM mtoto wa mkulima wa kukatwa eeeeh.
Mkulu: Nammiss sana mzee wa kulia lia. Yaani hata alivyokatwa alilia maskini duh! kweli mwaka huuu kazi ipo
Maza: Kwani bebi si uliongea na wa Kaskazini kwamba lazima wote waliokatwa wajiunge na tingatinga?
Mkulu:Achana naye sijui amekula maharage ya wapi yule? anaongeaongea ovyo tu, nazidi kumdharau, wala si rafiki
yangu tena, eti nimehusika na Rich, eti alitaka kuikatilia mbali Rich nikatoa oda. To hell I dont care. Tulale
baby:
Maza: Ok baba wani, mpenzi wangu usijali, ila lifanyie kazi hilo, tutaumbukaje? Lala mpenzi, I love you. Mwaaaaaa!
 
Kila MTU ni TISS na wewe nimekufindisha acha kufanya ambayo sikukupa kwenye darasa na kwenye mtihani. Unaweza kumngofoa kucha mnk nilikutrain.
 
Mkuu kama TISS wangekuwa wanafanya kazi hiyo sijui nani CCM angepona saa hizi. Kama unayosema ni kweli kuwa hata serikali za UK na USA zinfanya hivyo, basi ujue labda zaidi ya nusu ya baraza la mawaziri lingekuwa kwenye hati hati. Ukizungumzia ufisadi unatakiwa kuwa makini sana, unaweza kushangaa kuwa unazungumzia EPA, ESCROW, etc etc.

Je umeshajiandisha?????
 
Mwezako anatoa hoja wewe unatukana, hayo unayosema ww ndio ulitakiwa ukayafanye,, acha bangi..

Tunatofautiana emotionaL intelligence mkuu! wengne ndo wako hvyo kama vchaa' busara na ustaarab hakuna kabisa utadhan ye hana mama..af huyo mama wa mwenzake hata sijui kahusikaje hapo!
 
Back
Top Bottom