Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Nimekuwa najiuliza kwanini CCM imekuwa kimya na tukio la Lowasa kuhamia CHADEMA-UKAWA. Leo nimepata jibu kwanini. Habari za uhakika toka jikoni CCM ni kwamba kuna mpango ushasukwa wa kumkata tena Lowasa. Ni hivi, Tume ya uchaguzi imekwisha kabidhiwa picha za mnato na video zinazomuonyesha Lowasa akianza kampeni kabla ya muda wa kampeni wakati wa kura za maoni za kutafuta mgombea uraisi wa CCM. Kwa maana hiyo basi, Magufuli ni kama hatakuwa na upinzani maana mgombea wa UKAWA atakatwa mara tu baada ya dirisha la kurudisha fomu za kutaka kuwa mgombea kufungwa. KWa maana hiyo, Magufuli atagombeaa na na wachovu kama Dovutwa nk. You heard it here first. UKAWA wasipojipanga na CCM isipojirudi naona kuna mmwagiko wa damu waja nchini. ATAKUBALI KUKATWA MARA MBILI??????

Mkuu kwani hizo kampeni ni kosa la jinai,
 
Hapo alipo Lowasa kwa sasa ni level nyingine kabisa. Ni rahisi kumvua JK uenyekiti ccm kuliko kumzuia Lowasa kugombea na nchi ikatulia
 
Tulishasema lowasa kamwe hawezi kuwa rais ktk nchi yoyote ile hapa dunian.

Na chadema imejiuwa yenyew kwa kukaribisha makapi[/QUO
Mwalimu uliongoza nchi hii,ukajipatia heshima,muda wako ukaisha
ukafa tukakuzika kwa heshima,sasa mzimu wako unarudi kuja kutuamulia nani wa kutuongoza?

Mbona Membee aliyekuja kuhiji kwenye kaburi lako hukumsaidia,
amegalagazwa na watu wako bila wewe kumsaidia.

Tuache tupumue,hatupo tayari kuongozwa na mizimu
tuna maamuzi yetu wenyewe,ulipokuwa hai
azimio la arusha lilivunjwa na mafuisadi mbele yako hukuwafanya lolote.
sembuse umeishakufa? jipumzikie kwa amani.
 
Mwaka huu mtaandika mpaka kwa kihindi au kiarabu. Leo CCM mnaishauri CDM.....
 
haha me nicheke CCM wanahaha sana hatubadiliki ng'oooo lazima tuwazme kama mshumaa lowasa oyeeeeee3d

yani kila mtaa kijiwe ni liwasa yani ameshakuwa wimbo wa taifa kaz kwenu nyie vibaraka wa ccm mlotumwa mnalo kweli
 
Sauti ya WENGI, sauti ya MUNGU...

No matter what, whether he will bring changes or not,
We will choose LOWASA to show the WORLD kuwa TANZANIA is not for SISIEM.....

Mabadilikooooooooo..... Lowassaaaaaa......Mabadiliko
 
Back
Top Bottom