Hivi hicho si ndio kinaitwa mfumo ambao umelikataa hilo jiwe kule kwingine!?masi dada yawezekana kuna kitu flan usichokijua kuhusu TISS na mtu kuingia ikulu..
Lowasa tunajua mnamkubali lakn hawezi kuingia ikulu kwanamna yoyote ile
hii nchi ni ya wananchi kama wananchi wanamkubali hzo takataka zote ulizoandika hazna maana
hii nchi ni ya wananchi kama wananchi wanamkubali hzo takataka zote ulizoandika hazna maana