Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
TISS ndio NEC? Au ni chama kingine cha siasa? Msimamisheni Apson agombee basi tujue moja
TISS=
T-Tanzania
I-Interbank
S-Settlement
S-System
TISS ndio NEC? Au ni chama kingine cha siasa? Msimamisheni Apson agombee basi tujue moja
Tanzania intelligency and secret service (Ltd)TISS=
T-Tanzania
I-Interbank
S-Settlement
S-System
Tanzania intelligency and secret service (Ltd)
tanzania intelligence and securiy service.
Nendendeni mkawafanyie CCM umbea mliokuwa mnatufanyia sisi hatusikii hatuelewwi mtaji wa kura ni watu na watu wenyewe ni ndiyo hawa wanaokuja sasa mungu akupe nini usiseme Lowasa tu mseme Lembeli, Bulaya, Ole Medei na wengine kifupi hatutaki ushauri wenu kawashaurini ACT labda watawasikia sisi mtukome tena mkomeke
kama tukimkataa Lowasa kwa sababu ni mchafu basi hata akitubu Mungu hatamkubali,hakuna njia nyingine ya kuondoa hawa majambazi madarakani tusipomkubali Lowasa,nawahakikishia ccm itashinda uchaguzi mkuu kama kawaida na itatawala tena miaka kumi na Magufuli atafanya kazi na walewale maana hawana jipya,Lowasa atatusaidia kuiondoa ccm halafu tugeukiane baada ya ccm kuzikwa,hapo ndiyo tutaona njia
Kwa taarifa yako ni mwanachama na mfadhili wa wagombea wa cdm ila sijafurahi lowasa kufanywa mgombea wa ukawa. Kubwa ya sababu ni kuwa viongozi wa Ukawa wamekubali kumpokea mtu ambaye hana maadili na marafiki wake ni wa aina hiyo. Waadilifu wengi tumekata tamaa.
haa haa kwani huyu aliyepo ni mzima?
Naam, ni mzima wa afya kabisa, Rais wa kwanza Tanzania kupewa tuzo ya utendaji bora Afrika.
Tanzania intelligency and secret service (Ltd)