Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

masi dada yawezekana kuna kitu flan usichokijua kuhusu TISS na mtu kuingia ikulu..
Lowasa tunajua mnamkubali lakn hawezi kuingia ikulu kwanamna yoyote ile
Hivi TISS uko wewe tu? Ndiyo nyie hata mkiwa barabarani mnaleta fujo ati niko TISS. Ushamba tu. Wenzenu wanaona hata aibu kujitambulisha
 
Yawezekana Dr. Slaa alishaandaliawa propaganda za kutosha kumchafua kama angependekezwa kuwa mgombea urais. Hiki kitendo cha EL na CDM chaweza kuwa kimewaletea usumbufu wa kuandaa mikakati mipya kumkabili mtu anayewajua vizuri....! Lazima ziibuke thread za namna hii. Lakini mbali na hayo, binafsi silizishwi kwa EL kuiwakilisha ukawa, wakati kuna tuhuma nyingi hajizipatia majibu ya kuridhisha. Kashfa ya EL si ya Richmond tu,...zipo nyingi.
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.

Informer aka kitengo
nianze kwakusema hapa kuna tatizo la kimaadili.Ebu tusaidie:
1. Tiss inafanyakazi kwa maslai ya nani?
2. Hivi vita hii ni kati ya Lowasa na state au CCM?
3. Huo ushaidi mlionao juu yake ni baada ya kujiuzulu? Au kabla coz ni miaka nane sasa?
4. Je hizo tuhuma zake zimefaa kushughulikiwa sasa? Na kwanini siyo wakati akiwa ccm?
5. Hivi kitengo mlitusaidiaje kuzuia EPA na ESCROW?
Kiufupi kama mtaamu kutekeleza hayo uliyoyasema hapo juu mtajishushia sana kwa jamii na mtajipiga lebo ya kutumika
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.

unamtishia nani nyau?.mtu mzima hatishiwi nyau kama lowasa ni fisadi mpelekeni mahakamani.mnavyohara na mtaarisha sana!
 
Hii idara ya Tiss inadharauliwa sana hapa nchini. Kila MTU anajifanya tiss , machizi na wehu wote eti nao wako tiss. Aisee..!
 
TISS ndo wanajimilikisha nchi? Kwamba wao ndo kila kitu? Waache ujinga, kila mtu ana haki na wajibu wa kugombea urais provided amekidhi vigezo.
 
simshabikii EL, ila wewe TISS gani umeshindwa kugundua kuwa US wanamsapoti EL
 
Informer umetokota.... punguza maslahi ya akina pengo .... slaa anaweza kwenda maana siasa ni Sanaa ....
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.
 
Mbona intelligentia ya Rwanda iliondoka yote na Kagame anaendelea kupeta hadi leo hii? Hivi kwa nini watu tuogope TISS kana kwamba wao ni miungu? Mliundwa mkawekwa kulinda maslahi ya nchi mkaamua kulinda maslahi yenu kwa hivyo ushauri wenu ni sawa na ZERO kwa sasa.....msiendelee kuudhi watanzania waliopigika acha bla bla hapa. Akishinda ataunda TISS nyingine, akishindwa atakayeshinda ataamua kuendelea na ninyi au kuunda aina nyingine ya intelligentia inayofaa maana hii imeshindwa kazi kama sisi tunakuwa wa kwanza katika matumizi mabaya tu ya pesa...mlikuwa wapi hadi mkapendekeza mafisadi papa kuwa wakuu wa vyombo vikuu vya nchi yetu na kama siyo ninyi wenyewe.....aheri ungekaa kimya
 
Hivi kwa nini hamtaki Lowasa awe Rais? Mna kitu gani mmekifanya mpaka mnaogopa awe Rais? Sio bure kuna kitu nyuma ya pazia!!
 
Back
Top Bottom