Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Tulishasema lowasa kamwe hawezi kuwa rais ktk nchi yoyote ile hapa dunian.

Na chadema imejiuwa yenyew kwa kukaribisha makapi

Utauweka wapi uso wako akipeta october?..wewe nani...na mlisema na nani..mtaweweseka mwaka huu..hapo ulipo ushuzi debe..bado uharo october..EL rais 2015!
 
Lowassa alisema wenye ushahidi wampeleke mahakamani na siyo JF
 
Bahati mbaya hamtumii kufikiri kwa ubongo ila mnakimbilia matusi. inawezekana kwa kuogopa matusi yenu tukakaa kimya tusiwaambie/kuwaonyesha njia lakini mtapopotea mtakuja kutulaumu kwamba tulilifaham hili hatukuwaambia.

Hata hivyo nashukuru kwa mafuta uliyonipaka, u-mzoefu!

ulichokiandika kinafanana sana na id yako.
 
Mleta mada umejitahidi kutusisimua ila sisi tunasonga mbele! TISS imeundwa na CCM kwahiyo wewe ni CCM umeanza lini kuitetea CDM? Kaa kimya ukiona unataka kutusaidia fanya maamuzi magumu
 
haa haa jk ana wakati mgumu sana kwa sasa. kila alifanyalo linagundulika kwa lowasa mara moja. popote kikao kinapopangwa miongoni mwa wajumbe wa lowasa wamo. wawe wa serikali au wa chama. ccm isipokuwa makini italitumbukiza taifa letu kwenye machafuko makubwa. yetu macho...
 
Kwahiyo cabinet yote ya UKAWA haina hizi taarifa isipokua wewe tu ndio unazo? Uongo mwingine bwana hata haufanani. Wewe kama huna cha kupost ni bora ukae kimya kuliko kuudanganya uma wa watanzania kwa kitu ambacho hakiwezekani. Kaa kimya..... Full stop...!!!!
 
Huyu jamaa atakuw mbunge w ccm, tena katibu mana anaijua mipngo balaa....ila kw taarfa yko ccm ndo COMPLETELY FINISHED, na LOWASSA has FINISHED COMPLETELY dat CHAMA CHA MAZOMBI, kukiweka pembeni kwnza@@@@@ayo ni maneno tu! subr kikwete ahamie CHADEMA ndo utaamini, huyo MAKUFURI mwenyewe alisema akikatwa atahamia CHADEMA, Yani wa2 w ccm ata hawajielew, cjui ndo laana zenyew au utahira ndo umeanza ? Dah, nay alisema ukiona mambo hayaendi mtoe m2 kafara, LOWASSA amekitoa CCM kafara baada y kuona mamb haya, hayaendii@aaaah cc ndo 2naijua nch vzr ww w juz 2 unajfnya unamipango km choo cha makuti, jiangalie ndugu,,,,afu unapost uzi huo huna ata mia 4 ya daladala kesho, na km unayo bahat 2 iyo, sasa mchagueni Makufuli akipta mulalamike tena km kw kikwete, ccm munazngua kwel:::::: ppoz power :::::
 
haa haa kwa hiyo kazi ya tiss ni kushughulika na wagombea urais wa upinzani? kama hali ni hiyo ccm yapaswa kuondoka madarakani mara moja. hayo ni matumizi mabaya ya vyombo vya dola.
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.

Sababu hasa za kumwogopa Lowassa ni zipi? Ndani ya CCM jina limekatwa, ametoka; sasa mnataka akatwe tena nje ya CCM? Nini hasa kinawasumbua 'kitengo' ("Kitengo" according to Kingunge, 2015) na CCM?
 
kama tukimkataa Lowasa kwa sababu ni mchafu basi hata akitubu Mungu hatamkubali,hakuna njia nyingine ya kuondoa hawa majambazi madarakani tusipomkubali Lowasa,nawahakikishia ccm itashinda uchaguzi mkuu kama kawaida na itatawala tena miaka kumi na Magufuli atafanya kazi na walewale maana hawana jipya,Lowasa atatusaidia kuiondoa ccm halafu tugeukiane baada ya ccm kuzikwa,hapo ndiyo tutaona njia

Lowasa katemwa na CCM, Mbowe kalamba mshiko, Lowasa hata kuongea sawa wala kutembea sawa hawezi, tazama hata anapopungia watu mkono, vidole havifunguki.

Kama nyinyi mmemchukuwa mgonjwa ili awe Rais wa Tanzania basi mmepotea sana step, lakini kama mmempokea kumlia fedha zake tu, hapo nawapongeza mmedhihirisha kweli ni wachagga.

Mgonjwa mmoja aliyetemwa na CCM ni mbora kuliko chadema yote.
 
Kwa hiyo CCM huwa na mipango ya kuimarisha upinzani?

So many threads! So little minds!
 
Lowasa katemwa na CCM, Mbowe kalamba mshiko, Lowasa hata kuongea sawa wala kutembea sawa hawezi, tazama hata anapopungia watu mkono, vidole havifunguki.

Kama nyinyi mmemchukuwa mgonjwa ili awe Rais wa Tanzania basi mmepotea sana step, lakini kama mmempokea kumlia fedha zake tu, hapo nawapongeza mmedhihirisha kweli ni wachagga.

Mgonjwa mmoja aliyetemwa na CCM ni mbora kuliko chadema yote.
Ditopile alisema ukiwaachia mkeo utamkuta salama, ukiacha pesa hutaikuta. Hatariii.
 
Threads zenye 'Lowasa' zinachangiwa balaa! Wapi Magufuli spectators??
 
Jamaa kwenda cdm anawachanganya sana mana mtu ana take tym anatengeneza habar
Lowassa kashasema mwenye ushahid aende mahakaman maneno mengi ya nin
 
Back
Top Bottom