Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Haaaaaa,tiss ni mfumo wa malipo tuu ,hakuna anayewaamin tena,alaf wewe sio tiss bal upo lumumba unafanya kazi ya buku 7,kabla ya kubwabwaja weka evidence juu ya kagoda,meremeta na mengne,achen politics mfu
 
Raisi wa nchi anaongea kutumia Skype? hata matapeli tuu hawatumii skype kuongea vitu vya siri!
 
Nisingependa kusema lakini nitasema. Kurushiana matusi si ubinadamu. Tuwe wastaarabu jamani. Vyama ni clubs tu mara juu mara chini lakini utu unabakiya.

Kuna watu humu wapo kama masanamu....yameshapoteza uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo muda mrefu kiasi kwamba wamekuwa watumwa wa fikra za watu wengine...na kwa bahati mbaya wao wenyewe hawajijui kuwa wanatumiwa na watu wengine kufanikisha mambo yao.....ukitumia akili zako vyema utagundua kuwa hawa hawa waliokuwa wakimtukana LOWASAA kwa kupewa taarifa na viongozi wao ndio ha hao leo wakitoka mishipa ya shingo kwa kumsifia na kumsafisha huyo waliyekuwa wakikesha kumtusi...unaweza ukaona ni jinsi gani watu walivyopoteza uwezo wao wa kuchanganua mambo na hatimaye kuwa watumwa wa fikra.....
 
Hao mnaosema TISS watumie ujuzi wao kubaini mbinu zinazotumiwa na Majambazi kila siku kuwaua Police na kuwapora silaha, kubaini Mbinu za majambazi za kuvamia Banks na kuiba fedha bila kukamatwa na ilihali kuna security.
 
Yaani Lowassa kama Yesu..daaahh...kila Mkoa watu wanasherehekea...ni shangwee... huyu Rais wa wananchi kupitia Chadema, Ukawa, yaani ushindi ni mkubwa sanaaaaa....Ukawa very genius

yaan unamfananisha lowasa na Yesu?!
Kufuru gani hii?
Sawa kwa vile mmeanza kujikweza basi lazma mtashushwa. Hamtaamini anguko lenu na lowasa wenu...

Mtatambua ya kuwa mwana wa mungu hafananishwi na wezi.
Itunze hii kauli mpaka oct halafu unitafute
 
Mkuu wa nchi anafanya mawasiliano nyeti namna hiyo
kwa mustakabari wa nchi kwa kutumia Skype niijuayo mimi?
Lahasha nasita kidogo juu ya kipengele hicho...
ila hapo Magamba wa ugambani watapojiroga kuleta uhalo wao dhidi ya lowasa basi hapo
ndipo itapokuwa kama mbwahi na iwe mbwahi...
 
Last edited by a moderator:
Wananch ndo wanachagua nan awe rais cyo mtazamo wa kikund kimoja ata mwalimu nyerere alisema anayependwa na watu ndo apewe fursa hiyo
 
Hahaha ccm wanatishia ukawa nyau. Utaratibu wa we mwaga ugali mi ntamwaga mboga itaendelea. CCM wakifanya hivyo lowassa atasema alipo balali, wahusika wa EPA iliyomwingiza kikwete madarakani. Mtajibeba mwaka huu
 
masi dada yawezekana kuna kitu flan usichokijua kuhusu TISS na mtu kuingia ikulu..
Lowasa tunajua mnamkubali lakn hawezi kuingia ikulu kwanamna yoyote ile

TISS ndio NEC? Au ni chama kingine cha siasa? Msimamisheni Apson agombee basi tujue moja
 
Last edited by a moderator:
na kama wewe ni mmoja wao,basi TISS inabidi isafishwe ili kuondoa mapopoma.mana hakuna namna nyingine.

Ndugu yangu inaonekana UNANIPENDA kupita maelezo. Hivi ili kumaliza UTATA unaonaje UKIACHANA na huyo Mumeo uje UOLEWE upya na mimi na hasa ukizangatia kuwa sasa natafuta Mke sasa wa KUOA? Yaani kila NINAPOKWENDA upo na nadhani hata ukiwa USINGIZINI huwa UNANIOTA sana na ukiona tu post yangu UNATEKENYEKA!
 
At km atakatwa ndo mamb yatazid kuwa mazuri, atabaki chadema na uraisi atagombea Dr.slaa
 
Too late.
................... Magufuli tulikupenda lakini Lowassa tumekupenda Zaidi.............
Kura zote ni kwa Lowassa.
 
Unajua huu ndio wakati wa ccm kutapatapa maana wanajua anguko lao ndio sasa!.huyo mtoa mada ni kada wa ccm ndio maana anajihami na kutafuta wachangiaji wapumbavu kama yeye
 
Uwezekano wa lowasa kuwekewa pingamizi na ccm ni mkubwa na wanaweza kufungua mashtaka ya jinai juu yake. Je time ya Taifa ikimzuia na muda wa kuweka mgombea mwingine haupo itakuwaje? Mimi naona ni makosa kumfanya lowasa kuwa mgombea wa Ukawa. Kama ndani ya Ukawa hamelewani kuhusu mgombea wenu ni heri kila chama kiweke mgombea wake. Hii pia itaondoa manung'uniko kuwa tumeyatupilia mbali maadili tuliyopigania kwa miaka 23.
 
Hivi Ng'adi wewe akiwekewa pingamizi Lowasa kwako wewe mwana CCM si furaha, toke lini fisi akawashauri mbuzi wasizuruze porini kwani wataliwa na Mbweha?
 
Tatizo la wahuni wa CCM, mmeshajua mnaenda kushindwa sasa mnachofanya ni kutapatapa tu. CHADEMA huwa hawafanyi mambo kwa kukurupuka. Hizo plan B peleka Lumumba. Acha propaganda. Nyerere aliwaonya tangu 1995 kwamba mnapochagua mgombea wa Urais, ni vizuri kusikia sauti za wananchi, maana hamchagui katibu wa CCM, mnachagua Rais hamkisiliza. Jambo lilikuwa wazi kabisa ni mgombea yupi aliyekuwa anakubalika kuliko wagombea wote. Lkn nyinyi mkashupaza shingo. Kiama chenu kinakuja. Acheni kuweweseka
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.
Makoromeo yeye yuko safi, hata ujenzi wa barabara umesismama, inasemekana takrima.
 
Wanasema kuwa CCM imejipanga kumuwekea Lowasa pingamizi ni waongo wakubwa kwakua wao ni CCM basi wameshajua kuwa watashindwa ndiomana wanaanza kaleta maneno ya uzushi na uongo. Ahsante
 
Kwa taarifa yako ni mwanachama na mfadhili wa wagombea wa cdm ila sijafurahi lowasa kufanywa mgombea wa ukawa. Kubwa ya sababu ni kuwa viongozi wa Ukawa wamekubali kumpokea mtu ambaye hana maadili na marafiki wake ni wa aina hiyo. Waadilifu wengi tumekata tamaa.
 
Back
Top Bottom