Ni upuuzi kujadiri mada ya upuuzi,nami ni bora niwe mpuuzi kwa muda kumjibu huyu mTISS fake,.....mi nashangaa great thinkers mnapopoteza muda kujadili hii maada,first of all toka lini CCM imekua na mapenzi na CDM na UKAWA,au upinzani,leo mpuuzi fulani eti anatoa siri kwa adui na bado anamtisha huyo adui,siri ya kumkomoa mtu huwa haifichuliwi,ila inafichwa ili mpate surprise siku ya tukio,hizi ni propaganda kila sehemu hujitokeza kipindi kama hichi cha kuelekea uchaguzi,ni mpuuzi pekee ndie anaeweza kuamini kuwa CCM wanaweza kufurahia kuondoka kwa Lowasa!mpuuzeni huyu mleta mada hapa,CDM pale kuna vichwa vina akili sana,hawawezi kukurupuka for this extent....!