Safari hii hakuna pa kupumulia!!!
Sawa una sababu zako japokuwa sio uchungu kwa maslahi ya Taifa. Mimi naamini kabisa I can make a Change, wewe mnazi unatazama mpira tu na kushangilia mradi Arsenal wafungwe na ManU..Mkuu Mkandara,
Naona tupo kwenye chumba cha mtihani, mie nipo upande wa yoyote anayepambana Chadema huo ndio msimamo wangu.
Iliyoumbuka ni CCM wala si Lowassa.
Mkuu Mkandara,
Naona tupo kwenye chumba cha mtihani, mie nipo upande wa yoyote anayepambana na Chadema huo ndio msimamo wangu.
Kama hivi ndivyo imekuwaje mgombea sioi kashinda? waliompa ushindi huo ni CHAMA au pia ni watu! yaani Sioi atakuwa mwakilishi independent!Aliyeumbuka hapo si CCM ni watu waliokamatwa na tuhuma hizo ujue chama cha CCM kwa taratibu zake na kanuni zake ndani ya katiba yake hakuna sehemu inayomruhusu mtu kufanya vitendo kama hivyo vya rushwa na vingine viovu na ndiyo maana mtu akienda kinyume anachukuliwa atua kwa mujibu wa katiba nakuomba uovu huo usiuhusishe na chama ata kdg chama kiko vizuri maswala ya mtu binafsi yasihusishwe na chama,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
Waulize wanaomjua JK, akikubadilikia kakubadilikia,
kama (JK) angekuwa bado upande wa EL hayo hote yasingetokea lakini sasa wapo tofauti kabisa
na hii vita inapoelekea EL atachemsha kabisa na hata huo uraisi hataweza kuusimamia akiwa ndani ya CCM hii ya JK-Mukama
Wewe kweli kituko, Lowasa leo ndio kidume na kama CCM sababu zao zilikuwa ni asilimia 50 plus, basi hichi kidume kimehakikisha kijana wake anatwanga kwa zaidi ya 70% JK &CO, chali.Waulize wanaomjua JK, akikubadilikia kakubadilikia,
kama (JK) angekuwa bado upande wa EL hayo hote yasingetokea lakini sasa wapo tofauti kabisa
na hii vita inapoelekea EL atachemsha kabisa na hata huo uraisi hataweza kuusimamia akiwa ndani ya CCM hii ya JK-Mukama
Uzini nani alotumia mbinu za Udini? kama Chadema wangetumia mbinu ya Udini wangeweza kupata hata hizo kura 200. Usiwafanye watu wa Uzini wajinga kiasi hicho kama alivyosema huyo Jussa mwafrika wa kiapo cha uraia. CCM wameshinda Uzini kwa sababu waliweza kushinda hata uchaguzi wa 2010 kwa asilimia kubwa sana. Kwa CDM, kampeni za week moja au mbili hata siku moja haziwezi kuleta ushindi hata kama wangempeleka nani. Igunga kilichofanyika ni Kukipaka Chadema maana wakazi wengi wa mjini Igunga ni Waislaam na propaganda za CCM kuhusu Udini zilianza hata kabla Rostam hajajiuzuru.Vipi mbinu iliyotumika Igunga na Uzini kuwagawa watu kwa misingi ya udini itatumika Arumeru?
mkuu wangu ameisha pita licha ya fitina kubwa iliyoongozwa na CC!Pasco,
Sioi anapita? Ma-AntiLowasa wamemkalia vibaya huyu kijana kwa "dhambi" ya kuoa bintiLowasa!
Wewe kweli kituko, Lowasa leo ndio kidume na kama CCM sababu zao zilikuwa ni asilimia 50 plus, basi hichi kidume kimehakikisha kijana wake anatwanga kwa zaidi ya 70% JK &CO, chali.
Takukuru Leo wameamua kumgeuka Edward Lowasa na vibaraka wake katika marudiano ya uchaguzi wa Arumeru. Katika sakata Hilo katibu wa UVCCM wilaya ya Monduli ndugu Ezekiel Mollel ametupwa rumande Mara baada ya kukamatwa na simu yake ilipo pekuliwa na kukutwa na mesej alizokuwa Akiwasiliana na Lowasa kuhusu kuchukua hela kwa askofu na mathius manga kwa Lengo la kwenda kuwahonga wajumbe wa arumeru Mashariki.
Katibu huyo amekiri kupewa maelekezo hayo na Lowasa na kuomba asamehewe kwa kuwa Lowasa ni kiongozi mkubwa yeye asingeweza Kuwa na ujasiri wa kumkatalia. Hadi wakati huu Ezekiel Mollel na Askofu wapo rumande.
Pia katika tukio lingine Fred Lowasa amethibitika kumhonga ticket ya ndege Elirehema kaaya ili amsaidie Sioi aweze kushinda. Kwenye simu ya elirehema Kaaya zimekutwa mesej Kuwa nakulipia ndege pamoja na kukupa lile fungu la kuwapelekea wajumbe. Kwa ushahidi huu hadi sasa elirehema Kaaya yupo rumande.
Wakati wowote mambo haya yatapelekea wahusika kupelekwa mahakamani.
Wana Arumeru mashariki wafanye uchaguzi kwa amani na utulivu na tena wasiwe na hofu yoyote.
Mkuu wangu kama ulishindwa kunielewa basi haukuwa na nia ya kunielewa, Lengo la hii thread ya leo ilikuwa ni kumdhihaki Lowasa kuhusiana na uchaguzi wa leo, sasa kijana wa Lowasa ndiye alieshinda ni kwa nini matokeo ya uchaguzi huo yasihusishwe na thread hii!!?? labda ningekuomba uisome upya hii thread then hakuna utakachokishangaa.Mkuu Matola nakuheshimu sana na pia huwa naheshimu sana michango yako,
lakini kwa leo umenikatisha tamaa kabisa, Mimi sikuongelea habari za uchaguzi uliokuwa unaendelea mimi nimejadili hoja iliyowekwa mezani kwa jina la Lowassa kuhusishwa na mambo ya rushwa , sasa hapo hiyo hoja ya matokeo ya uchaguzi inauhusiano gani na hoja yangu?
Kwanza mi naombea EL ndio angewekwa lupango. Ila hapo waliowekwa lupango ni watu tofauti..
Sioi na EL wapo wanatanua mtaani, hata hawajahojiwa.