shida bangi zinakusumbua acha dawa ikuingie naona unalia lia kama sepetuKwahiyo Polepole ndo mmeo?
shida bangi zinakusumbua acha dawa ikuingie naona unalia lia kama sepetuKwahiyo Polepole ndo mmeo?
Jamaa anaishi porini!!![emoji12] [emoji12]Wewe unaishi wapi? Ile picha maarufu ya Balozi wa China ndani ya nguo za CCM kwenye mkutano wa kampeninwa CCM, hujawahi kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nimesema ni VIGUMU, sijasema haiwezekan, pili ndo maana nivigumu hata mifano yako ni michacheHivi rais Goodluck Jonathan wa Nigeria alikaa term mbil?
Pia rais wa Ghana kipindi kilichopita alikaa term ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi rais Goodluck Jonathan wa Nigeria alikaa term mbil?
Pia rais wa Ghana kipindi kilichopita alikaa term ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka kibaki 2007?? Aliamuru nn? Fuatilia historyIla kenya rais hana mamlaka yote. Kuna mahakama.
Pili ajiulize kuwa ni mesema ni VIGUMU sijasema haiwezekan, pili hata mifano yenyewe ana miwili tu wakati chaguzi Africa zimefanyika zaid ya 50 Timestume zao za uchaguzi zikoje?
wapinzani wao walitokea wapi?
mtoa maada yuko sahihi
Yes Kenyatta is bestWell said brother., ila hata tukiweka ushabiki pembeni Kenyatta is the best candidate for Kenyans.
Huyu mwingine akishinda watajuta kama wale wengine wanaojuta kila kukicha
Maoni yako yanatokana na sababu zipi za kisayansi na kisiasa kwamba akishinda Raila wakenya watajuta? Au ni ramli tu kama sangoma?Well said brother., ila hata tukiweka ushabiki pembeni Kenyatta is the best candidate for Kenyans.
Huyu mwingine akishinda watajuta kama wale wengine wanaojuta kila kukicha
Hiyo siyo ramli ni kutokana na uwezo wangu mkubwa wa kupambanua mamboMaoni yako yanatokana na sababu zipi za kisayansi na kisiasa kwamba akishinda Raila wakenya watajuta? Au ni ramli tu kama sangoma?
Kwani Lowasa alikuwa kwenye ardhi ya Tanzania. Wamasai Kenya wamemuunga Uhuru, yeye kama kiongozi wao mkuu kaenda kuongea. Kama wajaluo wa Kenya na Tanzania wana umoja na kiongozi wao yupo ruksa, sababu uchaguzibwa kenya always ni makabila kwahiyo hakuna kipya.Hii ya Wamasai wa East Africa ni mdudu gani? Ni nchi in A katibu na sheria zake au ni ukabila tu? In Kenya it is more serious kwa vile sana matatizo ya ukabila tangiapo. Kuna Wajaluo nao wako huku na huku, je wakisema wanamuunga Raila itakuwaje? Mimi bombs Serkali itoe tamko kwamba Tanzania ahatuko hivyo; hatuendeshi mambo yetu kwaukabila. Lowassa kapewa na nani madaraka kuwasemea Watanzania watampigia nani, eti to aakwa misingi ya ukabila? Huku ni kuingilia mambo ya ndanu YA TANZANIA.
Kwa huyu wa huku wa madarakani - hawezi kwenda kule kwa sababu huyu urafiki kwake huwa hauhusishi na madaraka aliyopewa. Ndiyo maana hata rafiki zake wengine amewatumbua kiurahisi.Huyu mpinzani wa huku kaenda kule kwa KIKI ya kusema wamasai wanamuunga mkono kenyyat asa najiuliza kwa huyu wa huku wa madarakani sijui ataenda kwa odinga kwa KIKI gani?!
Au naye watasema wakatoliki wameamua kumuunga mkono
Nawaza tuu kwa sauti!!!