Uchaguzi wa Kenya una taswira sawa Na uchaguzi utakao kuwa wa Tanzania mwaka 2020, Na kwa watu makini mtajaribu kuwaza yaliyoandikwa hapa,
Kwanza
Sababu KUU za kwanini Kenyatta ataendelea kuwa rais wa Kenya ,
1. Ni vigumu mno kwa nchi za Africa kwa rais kuongoza term Moja ya uongozi wakati ndo ana mamlaka yote Na kila kitu,
2. Tume ya uchaguzi Mara nyingi kwa Africa iko upande wa watawala, mtawala asiposhinda anashindishwa kwa lazima, hivyo hata LOWASA kuwa makini kajipange mwaka 2025 ugombee Na kina NCHEMBA,
3. Pamoja Na kwamba Kenya kuna changamoto ya rushwa, lakin Kenyatta kajitahidi sana kuleta maendeleo Na yanaonekana,
4. UPINZANI Mara nyingi ukishashindwa Mara ya kwanza watu hupoteza imani Nao, pili hata Ile desire ya mgombea kwenda ikulu Na kushawishika watu hupungua, maana agenda zake nyingi zinakuwa zimeshatekelezwa Na alomshinda ,pili wapiga kura hukata tamaa, hivyo raila odinga kamwe hatakuwa rais wa Kenya, ni kama ambavyo IPO hapa kwetu LOWASA ataishia kuwa rais wa mioyo ya watu,
Kila la heri JEMBE LA KENYA UHURU KENYATTA,
Tukutane tarehe 10.8.2017
By Samwel mathayo .