Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Kwa wale wanaoangalia na kuona mbali ATAJUA LOWAS ni BONGE LA MWANASIASA na kuna analolenga
 
Magufuli alichemka sana hapo.

Sasa huyu wa CHADEMA naye anaiga.

Hili ni jambo baya sana.
 
For sure we can measure it, its too far, may he is on parachute descending after crash. Too long and high.
When you see such kind of move, think twice, there is a high possibilities Uhuru is in danger zone. My friend, don't just jump into conclusion, there is something wrong there with Kenyatta's chance of success, that is why he wanted political reinforcement at the final stage.
 
Akae atulie hivyo hivyo, mambo ya Wakenya hayamhusu ajali ya kwao Tanzania
c328f07f2ab2c59e38097aaf5b2e0cd9.jpg
Mnampangia cha kusupport??
 
Nauliza tu, jambo hili huwa linakubalika kidiplomasia hasa wakati wa uchaguzi? Naomba kuelewesha, japo najaribu pia kujiuliza kama hiyo picha ni ya hivi karibuni na lengo lilikuwa ni kumsupport Uhuru kweli? Isije ikawa ni picha ya tukio lingine, kisha inaletwa hapa jukwaani sasa ili kupiga propaganda na kupotosha kama ilivyo kawaida ya mitandao ya kijamii.
 
Kenyatta atakuwa mpinzani soon,lazima ajenge urafiki
 
Kenyatta akichukua tena nchi sijui hizi nchi mbili zitakuwa na uhusiano wa namna gani maana naona Kenyatta kaamua kuonesha wazi kuwa yupo na mpinzani wa Magu

Hali ya mahusiano itaendelea kuwa mbaya.

Wakuu,
Hili suala silo la kushangiliwa wala kupongezwa... Ni suala la hatari kimahusiano kati ya nchi zetu mbili.

Lilipaswa kufanywa na wao wenywew bila kuingiliwa wala kusaidiwa na nguvu kutoka nje. Kitendo hiki kitazua hasira miongoni mwa wananchi wanaomuunga mkono Odinga na kama Uhuru atashinda basi kuna chuki itajengeka dhidi ya Lowassa na chama chake. Naye atalipwa hayahaya come 2020.

Ikumbukwe pia usalama miongoni mwa wananchi wa Kenya ni mdogo na ni watu wa "Liwalo na Liwee",lolote litakalo tokea juu ya uchaguzi huu litahusishwa na Watz.

Sioni Afya katika hili..... Isipokuwa bado litazidi kumharibia EL kama atagombea tena Uchaguzi ujao.
Nauliza tu, jambo hili huwa linakubalika kidiplomasia hasa wakati wa uchaguzi? Naomba kuelewesha, japo najaribu pia kujiuliza kama hiyo picha ni ya hivi karibuni na lengo lilikuwa ni kumsupport Uhuru kweli? Isije ikawa ni picha ya tukio lingine, kisha inaletwa hapa jukwaani sasa ili kupiga propaganda na kupotosha kama ilivyo kawaida ya mitandao ya kijamii.
Wizara ya Mambo nchi za nje si vibaya ikilitolea tamko na msimamo wa Tanzania
 
Back
Top Bottom