Nimeshangaa sana kwa mzee huyu kuamua kusafiri kwenda Kenya kuingilia uchaguzi wa wakenya....
Mimi naona badala ya kujiimarisha,anajimaliza kisisa.
Ni hatari sana kisiasa kuonesha wewe ni adui na unashiriki kudidimiza upinzani wa nchi nyingine.....
Chukulia kenya,8/8 ondinga akachaguliwa!!
..
haoni kuwa upinzani wa Tanzania utadumaa zaidi!,?maana hawatakuwa na sehemu yakukimbilia east afrika yote.
Tuhuma zake za hapa tanzania,pia wakenya wanazijua.....wataona kuwa kumbe na uhuru naye yupo kama lowasa...!?
Sent using
Jamii Forums mobile app