Wengi wenu mlienda USA baada ya kuona zile prospectus za mademu wa kinyamwezi
lets face it
wabongo waliopo UK ndio wameula
60% walijilipua, wakapewa sheria wengine wakapewa passports
katika mlolongo huo:
1) walipata elimu ya Bure (at least UG STUDIES)
2) HAKI ZOTE KAMA RAIA
3) BADO WANAENDELEA KUPELEKA MAKACHALA BONGO
nyumba walipewa na wengi wao waliingia kwenye income support
ambao hawakuingia kwenye IS walipangisha nyumba zao
halafu mnashangaa iweje Shughuli haziishi UK
OHHH MNASEMA CAREER
waliosoma wengi wao walipata kazi za maana nyingi tuuu na wala hawan dream kwenda kubanana na watoto wa vigogo BOT
WASALAAM
Samvulachole,
Usiwadanganye ndugu zetu, japo ni kweli ulichosema lakini ukiingia kwenye social UK , jua umaskini umekukumba maisha na maisha. Ni ngumu mno kutoka kwenye maisha ya kukinga mkono mpaka baadaye ukafanikiwa.
Sawa tumia njia yoyote kupata makaratasi lakini jitahidi ku avoid social benefits maana zinalemaza mno. Hata USA ndio zimelemaza ndugu zetu wengi weusi kule.
Wengine tunachapa mabox yetu warehouse na mungu anasaidia hivyo hivyo.

Lengo sio kuwasema vibaya bali ni kutoa mfano zaidi, kuna jamaa zangu wa visiwani ambao wapo huko UK baada ya kukimbia mapinduzi kisiwani. Hawa nao walitumbukia kwenye mfumo huu, hadi hii leo wameshindwa kuibuka. Mbaya zaidi hata watoto wao wametumbikia katika mfumo huu hivyo kuendelea kuishi katika mfumo huo, ambao unalegeza mbinu za kujituma katika kufanikisha maisha binafsi na ya kifamilia.

True story..london wapo wabogo wamekaa UK miaka zaidi ya 15 wanakinga social benefits..wanaona haibu kurudi dar..shule waliacha sasa wamezaaa..they got nothing to show for it!! Jamani kama umekuja kusoma SOMA!! kama umekuja kufanya kazi na kutafuta maisha fanya hivyo lakini usisikilizie social benefits...its wot keep the poor poor..it creates a lazy class.. (chavs in the uk, blacks in the UK/USA etc...)
Lengo sio kuwasema vibaya bali ni kutoa mfano zaidi, kuna jamaa zangu wa visiwani ambao wapo huko UK baada ya kukimbia mapinduzi kisiwani. Hawa nao walitumbukia kwenye mfumo huu, hadi hii leo wameshindwa kuibuka. Mbaya zaidi hata watoto wao wametumbikia katika mfumo huu hivyo kuendelea kuishi katika mfumo huo, ambao unalegeza mbinu za kujituma katika kufanikisha maisha binafsi na ya kifamilia.
Kibunango,
Ulichosema ni kweli tupu. Ukiingia kwenye benefits unaishia kuishi kwenye council houses ambazo nyingi ziko maeneno ambayo yanakuwa mabaya. Matokeo yake hata huduma kama za shule zinakuwa mbaya, polisi hawaonekani hivyo hata crime inakuwa juu. Huduma za hospitali zinakuwa duni pia.
Mtoto anayezaliwa kwenye mazingira kama hayo ni ngumu sana kufanikiwa. Hata akiwa na uwezo bado anakosa motivation ambayo watoto wengine wanapata kwa kuona wazazi wao wanahangaika kila siku.
Akienda shuleni na kula chakula bila kulipa tayari ni mwanzo wa bulling kutoka kwa watoto wengine, hivyo hata kwenda shuleni kwenyewe kunaanza kuwa taabu.
Kama wageni tunataka kujikomboa kwenye hizi nchi za watu, njia ni moja tu, kuchapa kazi na kupanda taratibu kwenye ladder mpaka. Njia za mkato kama social benefits, zinakurudisha nyuma hatua tano.
Acheni kuwaongopea watu humu
kwanza ki statistic watu wa visiwani ndio wengi zaidi UK kuliko watu wa bara
na kwa taarifa yenu hawa ndio wanapeleka pesa zaidi nyumbani kuliko hao wanaojidaui wazalendo ambao ni wafanya kazi zaidi/wanafunzi
Mara ya mwisho nilikwenda kwa Dewji na aliniambia kuwa hawa jamaa waliojilipua wamekuwa blessing in disguisse kwani wanapeleka ma containers na saa zingine nusu ya meli ni ya vitu vya hawa jamaa kuanzia malori mpaka makontena ya bidhaa
Ndio wengi waliingia kwenye benefit lakini hawakukaa sana kama mnavyotaka kuwaongopea watu humu
wengi wao walipata British passports na wamekuwa economically active kuliko mnavyotaka kuwafanya na bila kusahau kuwa wamekuwa mobile kibiashara sana baada ya kupata pasi zao
Nendeni Kariakoo mkafanye uchunguzi mtaona maduka mengi kule na ma importers wengi kule ni watu wenye asili ya visiwani wenye British passports waliojilipua 1995
wanunuzi wa majumba kule kariakoo ni hawa wali waliojilipua
Kwa anaelewa benefit system ya UK ataelewa kuwa kupata income support ni hki la kila Mwingereza mwenye mtoto si lazima uwe uwe unemployed na mashaalah wengi wa hawa watu hawana haja ya IVF wanajaaliwa kupata watoto. Msisahau kuwa UK ni social democracy hivyo mambo hayo ni kawaida tuuu
Wanawake wa nyumbani mara nyingi hawana pesa za ma child minders lakini nchi hii hawa wanawake wanapesa pesa kujiendeleza kitaaluma kupitia projects mabali mbali
Mmezungumzia ma CHAV lakini mtu kuwa cha si lazima uwe kwenye benefit na hata David Bekhama kama mnataka tuingine kwenye definition ya u chav ni CHAV, the same applies to Rooney an Rio Ferdinand...bila kumsahau Sir Alan Sugar
Kutokana na cultureza nyumbani wanawake wengi kusema ukweli hawako economically active lakini second generation inabadilika kwa kiasi kikubwa
huu mjadala kuhusu watu waliojilipua umekuwa ukiendeshwa na watu ambao hawana zaidi ya VIVU tuu kwani waliowahi wakachukua advantage ya nafasi ndio hawa ambao wako active kiuchumi mnataka kuwapaka matope bila mpango wowote
Mara ya mwisho nilienda kutoa kontena langu Dar na naweza kukuambia kuwa majority ya waliokuwa pale kuprocess mambo ya kutoa mizigo yao pale ni hao waliojilipua na watu wa U, sikuona watu wa USA wanaosifiwa kuwa wamesoma na wameendelea zaidi
na kam mmendelea zaidi mbona mnakuja UK kuishi free rent wakati wa kusummer ? ndio its an open secret huwa mnakuja UK kufanya kazi kwa kutumia mjaina ya hawa hawa waliojilipua na NI zao?
acheni hii prejiduce mlionayo
that said najua waliojilipua kule Canada wengi wao maisha ni tofauti kutokana na serikali ya kule kuwalazimisha kusoma ili hali UK na Europe mambo ya kulazimishwa kusoma hayapo
leteni hoja nyingine lakini penye ukweli semeni

Jinsi ya kupakia kontena....
nimekusoma mkuu......nina swali kwa hali hii ya anguko la uchumi hali ni kama ulivyoandika?hakuna nchi njema duniani kama USA, usome usisome it does not matter, lakini ni lazima uwe umekwenda for the right reasons, na uwe the right person
nimekusoma mkuu......nina swali kwa hali hii ya anguko la uchumi hali ni kama ulivyoandika?
kabla ya kufunga mkanda tujue......
Maeneo mazuri ya kupata vibonge wa makaratasi ni midwest..Wisconsin, Minnesota, Iowa, Kansas, The Dakotas. Miji midogo midogo ndiyo mizuri kwani wanapatikana bila tabu yoyote!!
...wewe **** bado unaongelea paper mpaka leo,nilishakueleza wajanja wote wamemaliza hizo game wakiwa college bado na sio hiyo mitipwa tipwa yako ya section 8,wajanja wamepata paper kwa watoto wakali ambao najua hata kuwasalimia unaogopa!
Hii mada ni muhimu sana. Kwanza kabla sijaanza kuchangia nataka nikuulize wewe muandikaji, jee upo US au una ndugu aliyekuwepo US? Mimi nimekaa US almost 10 years, rules and regulations changed every now and then.
Kuja US bila kufahamu hii nchi imejengwa kwa misingi gani is total wrong. Kama unakuja kusoma second degree (graduate school), i advise ufanye GMAT, GRE, MCAT, PCAT nchini kwako. Kama utapata score za maana then unaweza kuja hapa ukapata scholarship and other misaada. Tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni kudharau Elimu ya Marekani kwa sababu zetu za kijamaa na kishenzi.
Zamani wakati tunakuja SSN ulikuwa unapewa kwa kutumia DL yako, lakini sababu ya wahamiaji kuabuse system then ndio maana priority ikanyanganywa.
Swala la kurudi Tanzania, mimi binafsi sitaki hata kulisikia, there is more than million reasons that i can defend maamuzi yangu. Nchi inaliwa na watu wachache, uchumi is down into the toilet. Watanzania wengi nilio maliza nao, ambao ni top 10% ya form six 2008 wanakimbilia nchi za EU and North America, reason ni kwamba Tanzania hakuna ngazi ya kwenda juu.