Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

1. Yaani mimi na mara ya kwanza kuona Mtanzania anakosa uzalendo na kusifu US au UK-a developed country kuliko home for whatever reasons!

Mkiona vinaelea basi vimeundwa!

Karibuni sana nyumbani ndugu zangu..bado ni nyumbani kwenu tu ni sehemu ya historia

yetu!

Karibuni Supu tam ya Kuku wa Kienyeji, Kongoro safi na mengine mengi tu mazuri tele!

2. Tz imebadilika sana na opportunities kibao tu! Wako wengi wameishi nje mda mrefu na kurudi Bongo na kuwa challenged na makubwa peers wao walioyafanya kwa mda mfupi bila hata kuiba!

3. Maendeleo ni popote tu duniani..sema uskae ukadharua nyumbani na wazee na mila

zetu! Wazee husema "Mpanda ngazi hushuka"!

Huku tuliko, yaani UESIEI, sema unataka nini unapata.
Hii nchi wenyenayo haswa ni Wahindi wekundu sisi wote ni wazamiaji.
Kuishi Tanzania au kuishi hapa ni sawa tu.
Kukosa uzalendo ni kuwasahau walionilea na kunilipia ada.
Lakinis kuishi Majuu si kuiponda nchi.
Mimi na mwizi wa fedha za miradi ya serikali aishie Tanzania nani mzalendo?
Mtu ajengae KUTA kwa fedha za kujengea DARAJA na mimi Mtz mbeba mabox hapa Marekani nani ni mzalendo?

Ukiwa huku majuu unajiju pia ukirudi hapo Tz unajiju, wapi zaidi?

Kam kuna mtu anataka turudi Tanzania ili tukajenge nchi mwulize vipi Bajeti ya TAnzania inategemea kodi za watu wa nchi nyingine kuliko wale waishio Tanzania??

Kam wako wanaoisadia Tanzania bila kukanyaga ardhi yake, ni kwa nini sisi tushindwe kuisadia nchi tuliyo zaliwa na kukulia hali tukiishi nje?

Aisifuye mvua imemnyea, asiye isifu je??
 
Nothing new ndugu zangu!!!

US ni nchi iliyoeindelea tangu siku nyingi na hii inajulikana na kila mtu sasa ni kitu gani kipya hapo????

How can you compare US with Tz? na kuiponda Tz eti umeme sii wa uhakika, hakuna tunnel, n.k ??? U see my point???

Mtu angelingalinisha Tz na say Uganda, Zambia n.k na sii US!

Nachosema..msisahau na kudharau nyumbani!!! Do something guys at home even small ..it will make a difference!
 
Point ni kuwa acha kujiongelesha na ku-generalize juu ya vitu usovielewa vizuri...kila mtu na maisha yake na kwa taarifa tu hakuna kilichoniuma!! Hongera kwa mshahara wako wa $50k ndani ya bongo!😀

Thanks YNIM kwa kujiongelesha pia, and thanks for 50K [proud au sio?], but i forgot.... pole for slavery mind!

If i was to generalize, i would say everyone gets 50K, but knowing we have average income less than that, i picked on one!! Its also funny when some of your type wish to hear bad new only from Bongo like no one is happy, enjoy the good country built by some of former slaves and when we visit there we will always cherish their contribution for the best country in the world ...but that wont make any of the USA citizen or wahamiaji better than any other

Now does that makes you better slave minded than others?

BTW, just one question... is it true that educated TZ immigrants face tough time in the US, or its the uneducated TZ immigrants face tough time in the US?
 
Last edited:
Watu wanaongea kama vile ukishuka Bongo kweli mchango wako utathaminiwa.

Viongozi wa juu wa seikali na wapambe wao wamegawana Billions za EPA, kisha leo wanathubutu kusimama kwenye majukwaa kuomba sisi wabeba mabox turudi tusaidie kujenga nchi kwa ujuzi wetu na vipen vya kubeba Mabox!

Jiulize Billions za Uharamia zilizoko mifukoni mwa Mafisadi zinaitwa vijisenti na zinapelekwa nje ya nchi Dubai UK na Uswiss. Kisha tunaambiwa sisi wenye fedha halali za kubeba mabox turudi tukatoe mchango wetu kujenga nchi kwa sababu nchi inatutegemea.

Nimejenga nyumba Tanzania nimenunua pick up kadhaa, nimesomesha wajomba zangu 4 sekondari na watatu vyuoni.
Natuma wastani wa $100 kwa wazee wangu kila mwezi.
Nimewahi kuchangia $500.00 zaununuzi wa vyombo vya muziki wa kwaya moja kule ushazi( sijui kama walinunua kweli)
Nimepeleka Computer 3 kwa akina dogo.
Nimepeleka Trekta1.
Mwenyewe nimerudi na kujulia hali watu.

Sasa sijui huku kurudi ili tukajenge nchi ni kwa aina gani?

Wanataka viwiliwili vyetu viwe Bongo? au wanataka zaidi ya hapo??

Sielewi kujenga nchi na kutoa mchango wangu kwa nchi zaidi ya hayo niliyo yafanya.

Nahisi kuna watu wanataka kutufisadi nafsi zetu ndiyo asili ya kilio chao cha kutusihi turudi.

Hivi ni kweli wako Serious wanataka turudi?
Wametuuliza kilichotuleta hapa ni nini?

Tkiwa hapa hawatujui wala hawaongei na sisi, ukienda Ubalozini unaitwa msumbufu.
Miaka yote tuliyo ishi Tanzania tulikuwa raia daraja la pili, Hekima, uwezo na nia ya kujenga nchi ilikuwa mikononi mwao wenyewe.
Leo hii wanajaribu kujifanya wanatambua uwezo wetu wa kujenga nchi, kwa vile tunabeba mabox? au kwa sababu tuko nje ya nchi wenyewe wanaita Ughaibhuni??

Give me a break!
 
Blah blah blah bado unaendelea kujiongelesha tu!? Eti slavery mindi...so what?? Kama the educated au the uneducated Tzanians face hard time in US wewe ina kuhusu nini? Wangekuwa TZ wangefanya nini? Hata kujibishana na wewe ni kupoteza muda tu....nimemaliza!!!

...Maumivu ya kichwa huanza poole pole, jazba... jazba!!! I didnt know this thread was for those in agreement alone!!!

Pole
 
Thanks YNIM kwa kujiongelesha pia, and thanks for 50K [proud au sio?], but i forgot.... pole for slavery mind!

If i was to generalize, i would say everyone gets 50K, but knowing we have average income less than that, i picked on one!! Its also funny when some of your type wish to hear bad new only from Bongo like no one is happy, enjoy the good country built by some of former slaves and when we visit there we will always cherish their contribution for the best country in the world ...but that wont make any of the USA citizen or wahamiaji better than any other

Now does that makes you better slave minded than others?

BTW, just one question... is it true that educated TZ immigrants face tough time in the US, or its the uneducated TZ immigrants face tough time in the US?

alafu wewe mkuu mbona kingereza kingi......bongo hatuongei ngeli kwa saana bana wewe uko majuu.......
 
Tkiwa hapa hawatujui wala hawaongei na sisi, ukienda Ubalozini unaitwa msumbufu.
"umeuza passport wewe" imemkuta jamaa wangu passport yake iliibiwa huko majuu alikoma.....ubalozi haukumsaidia wala nini......kaeini huko huko aisee hapa hali ni ngumu saaana kuliko mnavyosoma JF.....
 
...Maumivu ya kichwa huanza poole pole, jazba... jazba!!! I didnt know this thread was for those in agreement alone!!!

Pole
mkuu MTM 2seme ukweli tu kwa sisi tulio bongo......hali hapa sio kabisa......hata kama una elimu haikufai kitu situaton ya wasomi wa majuu sio kama yetu wewe unapata 50k hongera sana...
 
"umeuza passport wewe" imemkuta jamaa wangu passport yake iliibiwa huko majuu alikoma.....ubalozi haukumsaidia wala nini......kaeini huko huko aisee hapa hali ni ngumu saaana kuliko mnavyosoma JF.....

Ganda bado ninalo.
la kijaaaniiii huku wote wawili Maza na mshua kwenye kava lake wakiwa bado wanaamini uhuru na Umoja upo Tanzania.

Nilikuwa hapo Dar miezi 10 ilopita kama kuna mabadiriko mabubwa ya kuonwa ghafla ni uwingi wa magari na foleni ndefu sawa na urefu wa barabara.
Kingine utajiri wa watumishi wa serikali ulo kua zaidi ya mara 10,000 katika kipindi cha miaka 7 tu.
Nilikua dereva mzuri sana dar kwa miaka zaidi ya 15, mitaa ya Congo nilikuwa nakatiza kaa sina akilivile, lakini safari hii niliwaachia wenyewe waniendeshe.

Nilishika sukani pale tu nilipoamua kuendesha kuelekea kwetu Ushwazini ambako huko hadithi ni kinyume na hizi zitolewazo na ndugu zetu walozaliwa madogo na kuishi dar siku zote na kutushushua sisi tuloamua kubeba box kuondokana na shari.
 
".....kaeini huko huko aisee hapa hali ni ngumu saaana kuliko mnavyosoma JF.....

Huu ni ushauri ambao huwa napata mara kwa mara kutoka kwa rafiki zangu/former colleagues walioko TZ. But I often question their sincierty, maana wao bado wapo tuu na wala hawafanyi jitihada ya kuondoka.. badala yake naona wanazidi kujichimbia. Kuna baadhi wanaanzisha makampuni na wengine hata migodi , nk.
 
Sisi tanabanana hapa hapa yaani hadi kileweke!!!!

Sasa wote ndugu zangu tutafute opportunities US?
 
elimu ya majuu ni rahisi kuliko ya bongo, i have had the opportunity kusoma mlimani na kupiga masters yangu ulaya. hizi shule nyingi za mamtoni unaingia darasani mara moja ua mbili kwa wiki? unaweza kumudu kusoma huku unapiga mzigo zaidi ya masaa arobaini na viwanja unajirusha kama kawa. Hakyanani nigekuwa nafanya hivi enzi zangu za mlimani- wangekula kichwa!tukumbuke pia shule zetu za kibongo walimu wana mitihani ile ya kukomoana, wanafunzi wengi wakifeli mwalimu ndio anajiona mjanja, mara ngapi umewahi kukutana na maswalli kwenye mtihani ya topics ambazo hata mwalimu hajawahi kufundisha?enzi hizo tena kulikuwa hakuna hata system ya semister,unafanya ues za masomo sita na maswali yanacover topics zote ulizosoma kwa whole accademic year!

hiyo masters ya kuingia darasani mara moja du.......
Au ni almeda university
 
Sisi tanabanana hapa hapa yaani hadi kileweke!!!!

Sasa wote ndugu zangu tutafute opportunities US?

Uamuzi wako ni wa Busara kama umeamua kubanana ubanane kweli na uweke mawazo yako kwenye kubanana. Mungu akujalie mbavu ili uwezo kutoa kibano cha uhakika na chocchote kipatikane. Nasi utuombee kwa Mola ili shingo zetu ziweze kuhimili uzito wa box na vichwa vyetu visiote vipara utotoni, zaidi tusiugue kwani Health Insurance haikamatiki.

Nasi huku tuliko tunapiga box la uhakika tukijua wazi kwamba hakuna mtu Bongo anaona wivu au kujawa na mawazo na kudhani kwamba tunampugnuzia yeye au Tanzania kuchanja mbuga.

Ukitaka kujua zaidi juu ya ufanisi wetu na mchango wetu kwa taifa, Waulize Western Union mwaka jana walifanya biashara ya bei gani na sisi wabeba mabox.

Chonde chonde nakuomba usije huku endeleza hiuo mbanano hapo hapo ulipo.
 
Kuna baadhi wanaanzisha makampuni na wengine hata migodi , nk.
Hamna kitu hizo ni hadithi za Jk na mafisadi wenzi ili mrudi muadhirike...

.....nina principle moja sehemu yoyote uliopo ndio ur home....sio lazima eti iwe tanzania.....utakuwaje na home sehemu ambayo hauna amani? watoto wako hawasomi kwa raha......

kama uko Khartoum na una feel happy basi huko ndo home kwako sio tanzania....ile ya zamani eti nyumbani nyumbani haipo tena siku hizi.....hao mnaowaita ndugu zenu watumieni pesa wafanye miradi muone kama wanafanya....zooote wanahongea na bar....wewe make sure unaishi happy mengine yasikuumize kichwa ukifikiria eti nyumbani tanzania utadata......
 
Huu ni ushauri ambao huwa napata mara kwa mara kutoka kwa rafiki zangu/former colleagues walioko TZ. But I often question their sincierty, maana wao bado wapo tuu na wala hawafanyi jitihada ya kuondoka.. badala yake naona wanazidi kujichimbia. Kuna baadhi wanaanzisha makampuni na wengine hata migodi , nk.

Unaamini kila uanachoambiwa?

Kuanzisha Migodi na Kampuni au kusajili jina la kampuni na kusambaza business kadi?

Si mdharau mtu, lakini niukweli uliowazi kwamba Tanzania fedha inathaminiwa kuliko kazi.
Sisi ni wepesi wa kuunda kampuni za kifilisi vihenge vya taifa lakini si kuunda kampuni za uzarishaji mali wenye kuleta tija ya kitaifa.

Ni Bora kumwingiza mgeni afue umeme mbuzi baada ya kutia ndani kitita cha rushwa na kuvunja sheria zote ,kuliko kuunda kampuni ya kufua umeme itakayoondoa tatizo la umeme na kuleta kipato siku zote.

Mimi siamini kila nisikiacho.
 
Kwa hili mimi mwenyewe ni shuhuda (siyo kuambiwa). Lakini nakubaliana na wewe kwamba kampuni nyingi za aina hii ni za kifilisi nchi na si za uzalishaji mali wenye kuleta tija kwa kitaifa. Zaidi ya hapo nyingi zinapata tenda kwa rushwa (uvunjaji wa sheria). Kwa mfano, kuna jamaa mmoja ninayemfahamu ana kampuni ya ujenzi wa barabara (contractor) tenda zake ni za barabara za wilayani na hizo ndizo zake - anasema huwa wanatoa rushwa (kununua tenda na kuwaweka wasimamizi sawa) na kujenga sub standard roads (kufidia rushwa aliyotoa).
 
mkuu MTM 2seme ukweli tu kwa sisi tulio bongo......hali hapa sio kabisa......hata kama una elimu haikufai kitu situaton ya wasomi wa majuu sio kama yetu wewe unapata 50k hongera sana...

Mkuu kama ulisoma post yangu moja hapo nyuma nilishasema that was just a "gyrate" with loads of shit like NSSF etc but i got a few who got really mad becuase i tried to present the picture they always dont like... Hali ya hapa bado sana but lazima tujipe moyo na si kukaa heads down kusubiri akina .... waje kutusi watu na kusifia had vipapa vya huko

Bahati mbaya baadhi hasira chap-chap kwasababu kinaumiza kimtindo

ALL IN ALL LAZIMA TUPAMBANE NA I'M GLAD HII THREAD ILIANZISHWA ...
 
Attitude friends!

Yaani hakuna kitu positive mnachoona cha nyumbani? Story siku zote ohh mara Wizi ohh ubadhirifu ohh mara uzembe ohh mara njaa ohh mara magonjwa n.k

sasa wazungu wakiwa na hiyo attitute na wenzetu Watz wakiwa na hiyo2 attitude..je kweli tutafika??

Sisi tunabanana hapa and we have so much pride pamoja na shida zetu!

Home ni home bana.. tuache hizo!
 
naamini maneno ya bongo kama tutamia sisi, lakini sio mimi. namaanisha wabongo wengi wanaonesha gorofa halafu wanasema uapaona pale,pale ndio home kwetu.au unaijua kampuni ile basi yule mwenye kampuni ile ni babu yangu.au unamjua mke wa naibu waziri fulani, yule ni shangazi yangu.hakuna mtu anaekwambia kitu fulani ni jasholangu.mtoni ukiwa na gari basi hata kama ya payment ni yako kwa jina lako na kwa paycheck yako, bongo unatumwa na mama mdogo ndio inabidi upitie maskani ati leo una ndinga ya home kwetu.sasa shida ya bongo ni ukwetu na usisi hakuna u-kwangu au u-mimi.mamtoni mtu akipata kapata na anakumbuka alivoanzia mpaka alipofikia, bongo mpaka mazabe ndio ujisikie. tena hao wenye pesa wanashindwa kwenda likizo popote duniani kwa kuogopa hana uwezo wa kujitanua kama anapesa sababu ni za wizi. mimi bado nawafagilia waliosoma wowote na popote wanapoishi,hao waliopo huko wana akili ya dream house au dream car na wanapata.ila hapo bongo unasimama na wasomi conner halafu anapita mtu mwengine anaendesha gari nzuri basi wale uliosimama nao watakwambia cheki gari ile ......bongo kumekucha mwana kila kitu kipo, sasa maana yake nini, au mtu atarukia aaa ya jamaa zangu ile..... mamtoni akiipenda atajitahidi kununua, sio kusema ile ya jamaa zangu.
 
Back
Top Bottom