Mkwe ndio kwanzaaa nimerudi hadi 26π€£mkwe toa 6 weka 5 sijaanza kula pensheni bado...
mkwe hivi wewe bado unasherlherekea besidei ya 31 kila mwaka au 2026 tutasogeza mbele kidogo?
Nilikuletea bibi akaniambia umekwenda kwa mke mdogo. Basi nikaondoka.Nilikuwa nasubiria matunda ya Mimi mgonjwa lakini hadi nimeanza kupata nafuu hujaniletea π
Hahaha.........Fanya uniletee hayo matunda MjukuuNilikuletea bibi akaniambia umekwenda kwa mke mdogo. Basi nikaondoka.
Mwashambwa 19Mshana Jr 46
cocastic 31
Binti wa zamani 40
Hannah 35
Kiranga 37
secretarybird 31
ELI COHEN 34
ERoni 36
hamis77 35
FaizaFoxy 48
ephen_ 36
dosho12 30
Vincenzo Jr 31
Maxence Melo 48
Chica Gee 27
Dr am 4 real PhD 42
Mallerina 28
Sileti tena babu, utakula ulikopeleka mboga.Hahaha.........Fanya uniletee hayo matunda Mjukuu
Najua ilikuwa ni mbinu tu ya Bibi yenu kunikosesha bahati ya kulishwa matunda na Mjukuu π
Ukipatia wangu nakupa 10k fastaMshana Jr 46
cocastic 31
Binti wa zamani 40
Hannah 35
Kiranga 37
secretarybird 31
ELI COHEN 34
ERoni 36
hamis77 35
FaizaFoxy 48
ephen_ 36
dosho12 30
Vincenzo Jr 31
Maxence Melo 48
Chica Gee 27
Dr am 4 real PhD 42
Mallerina 28
Nini mbaya lakini MjukuuSileti tena babu, utakula ulikopeleka mboga.
Stakehigh anayo zaidi zaidi 16Wee chawa lazima wassira mlicheza wote utotoni!
Hao ni akina Mwashamba na Genge lakeKumbe humu ndani wakati mwingine tunabishana na watoto wetu kabisa humu....ππππ
Mbona vijana mnashindwa kuwatabiria babu zenu humu,ina maana kwenuhamna wazee?Mshana Jr 46
cocastic 31
Binti wa zamani 40
Hannah 35
Kiranga 37
secretarybird 31
ELI COHEN 34
ERoni 36
hamis77 35
FaizaFoxy 48
ephen_ 36
dosho12 30
Vincenzo Jr 31
Maxence Melo 48
Chica Gee 27
Dr am 4 real PhD 42
Mallerina 28
26?? Nimevuka huko zamani sanaa.Mshana kibabu huyo over 50.
Huyo shoga cocastic mbona janja sana lakini umri wake umekuwa mkubwa kuliko wangu.....huyo ni around 23-26.
Nimefikaaa na nimepitaaa.Kiranga umekosea, huyo makadirio ya chini kabisa ni angalao late 40's.
Cocastic hajafika 30's
Nishakua mareshii kitambooo, 28 ni mdogo wangu wa 2 baada ya anayenifuata.Uyo cocastic bado gen z hata 28 hajafika, na huyo mshana inawezekana kabisa ni 48-55π, kiranga 45, na kuna yule bibi ajuza wa JF yule nadhani hata 90 yrs atakuwa kagonga
ππππ 80 unaona vzr hiviMbona unanidogosha hivyo Mjukuu π
Mwaka huu natimiza miaka 80 ujue π€
ππππ
Kwamba tumelingana etππππ