Unazipata wap hz,nilikia nazo zikaibiwa nimetafuta had nimechokaNmeona woote mnaongelea Eaphone tofaut tofaut ila kwa ushauri tu kwa wale ambao hawapendelei eaphone zenye raba coz tofaut tofaut ila kama mim czpend znazba ckio na skio linashndwa kupumua fresh! kwa ushaur wng eaphone za iphone Zile Og znpiga hatari na azibagui cm sound mpk bass unaskia vzr. sema kwa waliopo dar weng wanauza copy. .. Me nipo mwanza huwa nanunua kwa 30k cjawah kujutia : sifa zake kwanza hazikatik ata uikunje veep na ata ukifulia kweny nguo ynyew fresh
Earphone Zenye kichwa cha namna hiyo sizielew kabsa..zinaumiza masikio sanaSasa tupo ulimwengu wa true wireless earphone.
View attachment 1074103
Mkuu nipe link ya h9 usd
Fafanua kijana nijiripue nikipata helaSasa tupo ulimwengu wa true wireless earphone.
View attachment 1074103
HayaEarphone Zenye kichwa cha namna hiyo sizielew kabsa..zinaumiza masikio sana
Hii vipi?Anker ikasome boss kwa jbl hasa hyo jbl extreme...siku ukikutana nayo utanambia mkuu
Jamaa wanajua had kweny sound za gari...
Hii sijawahi itumia mkuuHii vipi?
View attachment 1143134
Ilichukua muda gani kuzipata tangu ulipoziagiza? Je, ulitumia free shipping.?... Nimeagiza hizi kitu nina mwezi sasakila nikichungulia naziona bado ziko China hata kutumwa hazijatumwa.Hizo earphone ni shidaa...nmeagiza juz juz hapo leo ndio nmezipata...bass moja matata na mid imesimama pia...best earphone ever....View attachment 720553View attachment 720554
Sasa nyie inabidi mpewe nyanga za Philips zile ama OFIA ndio zinawafaa au tule tu earphone twa Nokia na Samsung chekeche!😆😆Kabisa mkuu!
Na mimi napenda sana nyimbo zenye midundo mizito kwa hiyo ubongo & ngoma hupata tabu sana
Mzee baba tafta Selenium Music player, ni hatari hio!Hii sijawahi itumia mkuu
Two weeks tu,nililipia standard shippingIlichukua muda gani kuzipata tangu ulipoziagiza? Je, ulitumia free shipping.?... Nimeagiza hizi kitu nina mwezi sasakila nikichungulia naziona bado ziko China hata kutumwa hazijatumwa.
Seller hajibu sms, nilinunua kwenye official storeTwo weeks tu,nililipia standard shipping
Umemchek seller anasemaje?
Ungetumia DHL mkuu wala usingelalamika kuhusu usafirSeller hajibu sms, nilinunua kwenye official store
hapa nafikiria kucancel order...
Wewe ulinunua kwa seller yupi?? nimecheki
Hahahaha poa poa mkuuSasa nyie inabidi mpewe nyanga za Philips zile ama OFIA ndio zinawafaa au tule tu earphone twa Nokia na Samsung chekeche!
Wandewa tunatumia inner ear anyday! Ukiblend na Equalizer ya maana kwenye player yenye DSP hapo balaa lake ni zaidi ya ile mikito ya Sony Xplod ama Piooner za Dicksound 😁😁😁
Ungetumia DHL mkuu wala usingelalamika kuhusu usafir
Inategemea ni toleo lipiTsh ngapi?
Ni garama sana ile..yan kitu kinauzwa 5000Tsh lakin DHL wanakuletea mwa Laki 3+...bora tuzid vumilia tuu hiz affordable shippingDah dhl gharama zake sasa
Seller hajibu sms, nilinunua kwenye official store
hapa nafikiria kucancel order...
Wewe ulinunua kwa seller yupi?? nimecheki
Ungetumia DHL mkuu wala usingelalamika kuhusu usafir
Wakati nanunua kulikuwa na njia moja tu ya free shipping... na status yake kwasasa iko hivi, yaani naona mzigo unazunguka tu hukohuko chinaOfficial store kama kawa...
Kwaiyo status ikoje?
Aaah hahaha hiyo ni ile China registered Mail boss hapo hata Miezi 2 inaweza gongaWakati nanunua kulikuwa na njia moja tu ya free shipping... na status yake kwasasa iko hivi, yaani naona mzigo unazunguka tu hukohuko china
View attachment 1163302
Nimetrack kwa website CAINIAO na haya ndio matokeo
View attachment 1163308View attachment 1163307View attachment 1163306View attachment 1163305View attachment 1163302