Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Wiki ijayo kutakuwa na kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki huko Arusha.
Kati ya mambo yatakayozungumzwa ni jinsi gani inawezekana kuharakisha uundwaji wa shirikirikisho la Afrika ya Mashariki.