Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 726
- 1,850
Wanaofikiri/ wenye mawazo kwamba EAC jumuiya ya umoja wa Afrika mashariki ipo siku inaweza ikaungana wanajidanganya kama ilishindikana kwa kipindi kile ambacho nchi zetu zilikuwabado ni changa sioni kama sasa inawezekana na hata wakijaribu kuungana haitochukua muda watavurugana.
Kama sasahivi tu nchi za Afrika mashariki zinawekeana vikwazo vya kibiashara mipakani na tunasikia hakuna maelewano kati ya Rwanda na Congo hivi kwa akili ya kawaida nchi hizi zinaweza kweli kujifungamanisha katika uchumi mmoja.
Kuwa na Bank kuu moja inayowaunganisha? It doesn't make sense