E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Vyeti mmeshapata au unapiga tarumbeta tu hapa?
 
Screenshot_2017-03-08-23-52-35-1.png
 
Aombe tu msamaha, kabla chungu hakijachemka, si ameweka miguu kwenye machine inayosaga na kukoboa.
 
Back
Top Bottom