E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.

katika vitu vya maana alivyovifanya sizonje ni kuzuia virobo..

umenena poa mkuu...

bt bashite ni bashite tuu
 
Juzi pale clouds kile kipindi cha asubui cha jumapili waziri Nape alisema ukipandacho ndo uvunacho huku akipiga gitaa lake
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nawale waliofukuzwa mavyuoni kisa hawana sifa ndoto zikafa kabsa, atokee kilaza mmoja akafoji vyet apewe nyazifa za hali ya juu adhalilishe watu bila huruma kiburi kimjae nabado useme inatosha????? Haiwez kutosha mpaka siku hakiitakapo tendeka nawatu wakiiona kabsa imetendeka hapo ndoitatosha
Hatakiwi kuachwa kbs
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
Tatizo kuna wengi wameumizwa kwa vyeti visivyo vyao. Isikilize kwa makini hotuba ya JPM wakati amekutana na wafanyakazi wa Bandari alipozungumzia juu ya vyeti feki. Watu hawamuonei, ila wanataka haki itendeke kote kote, kulia si kujibu hoja na chozi halisaidii kuondoa tatizo
 
Back
Top Bottom