E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Ilimpasa awe mtu asiyelaumika kwa udanganyifu. Alipaswa awe mfano.
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
haya mambo bwana. kama kuna kitu Makonda anakijutia sana nafsini mwake ni kutangaza anaowahusisha na unga hadharani na kuwaumiza pia. ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga bwana wetu yesu kristo alisema. angewaita wale mabwana kimyakimya kwa heshima hata wao wasingekasirika kiasi walichokasirika na kuamua kulipa kisasi. ukiangalia kwa umakini utagundua Manji hawakumtendea haki kumuweka ndani kwa kumkomoa kiasi kile bila dhamana kwa makusudi kwa siku nyingi tofauti na wenzake. ile ilikua uonevu. hapohapo akawa anadai kwamba yeye ana kifua kipana sana na haogopi mtu na atashinda. sasa mwenye kifua kinene kiasi hicho ndio amegeuka kulia hadharani. bila shaka ndugu yangu anajuta sana sasa hivi. anyway ninamuombea haya yapite aendelee na maisha. nina uhakika mungu ndiye aliyemnyanyua na kumfikisha kwenye nafasi aliyonayo hata kama alifeli. alimtumainia sana mungu nae akamnyanyua kwani kupata zero sio kikomo. Jeremiah 32:26-27 ''Then came the word of the Lord unto Jeremiah, saying, Behold, I am the Lord, the God of all flesh: is there any thing too hard for me?''. hakuna kimshindacho mungu ukiwa na imani utapata makubwa hata kama umeanguka. ndicho kilimchomtokea makonda. hakuna kigumu cha kumshinda mungu na leo hii akawa mkuu wa mkoa. anamiliki ghorofa, magari, viwanja, hela, kawatoa wazazi kijijini kwenye dhiki na nyumba hafifu na kuwajengea nyumba jijini mwanza. kuna wakati mama yake alimtembelea chuoni huku mama akiwa anaburuza ndala moja imekatika. makonda alilia. nadhani aliendelea kumtumainia mungu sana na leo hii yeye huyo ndiye yeye huyo. alifeli, alikua tingo, alifukuzwa na mlezi na kutupiwa nguo stendi, alichimba mchanga, alikata mkaa sidhani kama kipindi hicho aliwahi kuhisi ipo siku atasafiri na mke kwenda marekani wakiwa first class huku akiwa mkuu wa jiji kama dar. that is how strong GOD is for those who believe and wholeheartedly seek him. hii iwe fundisho kwa wengi. mimi ni mmoja katika waliomuhukumu makonda kwa hili lakini baada ya kufikiri kwa kina nimekumbuka bwana wetu yesu alituambia tusihukumu maana nasi tusije hukumiwa. nimeacha na sasa namuombea maana machozi yake kanisani yalinifanya nijisikie vibaya sana alionyesha wazi anamlilia mungu wake.
kosa moja alilifanya ni baada ya kumtupa mungu baada ya mafanikio. Bishop Maarufu Benson Idahosa aliwahi kusema ''Have what yo have but don't let what you have have you''. makonda lijisahau akasahau mungu amemtoa wapi. akaacha ya dunia yamuendesha badala ya yeye kuyaendesha. yeye mwenyewe akaanza kuhukumu watu, kuwasingizia watu na kuwaumiza na kuwatesa. akatafuta uzinzi kwa fedha zake. akawakomoa waliomkataa na mengi yenye kuchukiza mungu. mungu akatoa mkono wake juu yake. kuna mtumishi wa mungu aliyekua mashuhuri sana duniani Bishop Benson Idehosa aliwahi kusema ''The day GOD removes his hand from you, you are finished''. huwa naogopa sana nikikumbuka sentensi hii.
 
Unamsaidia kujuta?
Atoke mwenyewe na vyeti vyake
au aje aseme ukweli na aombe kujiuzulu, abaki na HESHIMA
 
Salute mkuu
 
jana tulikuwa tyunajadili hili jambo na rafiki yangu.umesema kweli mkuu alijisahau sana ila ametufundisha jambo kubwa sana
 
Tatizo kuna wengi wameumizwa kwa vyeti visivyo vyao. Isikilize kwa makini hotuba ya JPM wakati amekutana na wafanyakazi wa Bandari alipozungumzia juu ya vyeti feki. Watu hawamuonei, ila wanataka haki itendeke kote kote, kulia si kujibu hoja na chozi halisaidii kuondoa tatizo
makonda
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Bosi wao alitajwa kwenye list ya pili kama Gwajima na wao wanapiga kama anavyompiga gwajima mpaka anaenda kulilia kwingine hahhhhahhahaaha
bashite
Hata ukilia ukinyamaza unatukuta tunasubili vyeti vyako
 
Bashite@kolomije
 
Kulia siyo kuomba msamaha, kulia hakuondoi kosa la kufoji vyeti,kulia hakumpi uhalali wa kuendelea kuwa mkuu wa mkoa. Tutaendelea kusema ukweli mpaka atakspo akili hadharani kosa lake lakufoji vyeti usitulazimishe tufuate mawazo yako
Kwa kuanza aombe msamaha kwa wale wote aliowakosea kisha ndo aende kwa wachungaji wakamwombee na alete vyeti vyake tuvihakiki. Vinginevyo ni usanii tu wa kulialia kama mtoto mdogo.
 
Anayewalipa mishahara naye labda ni papa lao, wameguswa hawezi kufanya kazi bila kupitisha puani na sasa imekuwa ngumuuuuu. Sioni kingine

Makonda oyeeeee
 
Back
Top Bottom