DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

Hizi mbinu za wapinzani ni za kitooto,
Kesho pia utasikia fulani katokomea kusikojulikana, then kwa kushawishia na watu fulani watakimbilia UN na kudai wapinzani wanawekwa kizuizini Tanzania ndio maana tunaomba hifadhi ya kisiasa.

Lengo ni kumchafua JPM aonekane anakandamiza demokrasia nchini
Hii nzuri sana waifanye hata kesho tumeshamchoka huyo boya wenu. Kila kitu sifa anataka asifiwe yeye
 
hata mi ntakimbilia nchini ZAMBIA,maana hali si shwari nchini!
 
Kaletewa mezani kwake
Yani mkuu ndio umenifumbua macho leo.sababu mwanangu yupo Form two lakini naongea nae vzr Kingereza hata hivi nina mpango nimtume kwa Trump sasa huyu ana Phd hajui kingereza kumbe vyeti fake....
 
Mambo mengine yanaanza kidogo kidogo na watu wanachukulia utani. Hata ukifuatilia ya Bokassa ilikuwa kidogo kidogo na watu walidharau hivi hivi.
 
Kwani rais hapati mshahara hadi useme anakula bure dhihaka kwa watawala siyo nzuri. Pia ni kosa kisheria.
Acha uwongo kama hujui kitu kaa kimya.
Rais ni executive power kwa hiyo yupo kiharali kuhudumiwa kila kitu hata mavazi.
Analipiwa kila kitu labda uhai tu
Uraisi si lelemama kama unavyofikili, ktk ulimwengu yeye ni next to God
Kwahiyo anachosema zito ndicho chenyewe na ndio ukweli huo hata kama unauma.
 
Hizi mbinu za wapinzani ni za kitooto,
Kesho pia utasikia fulani katokomea kusikojulikana, then kwa kushawishia na watu fulani watakimbilia UN na kudai wapinzani wanawekwa kizuizini Tanzania ndio maana tunaomba hifadhi ya kisiasa.

Lengo ni kumchafua JPM aonekane anakandamiza demokrasia nchini
Kwani uongo kuwa ananyanyasa wapinzani mbona Kikwete hakuzalisha wakimbizi wa kisiasa why now?
 
Hizi mbinu za wapinzani ni za kitooto,
Kesho pia utasikia fulani katokomea kusikojulikana, then kwa kushawishia na watu fulani watakimbilia UN na kudai wapinzani wanawekwa kizuizini Tanzania ndio maana tunaomba hifadhi ya kisiasa.

Lengo ni kumchafua JPM aonekane anakandamiza demokrasia nchini
Kkwani uwongo? Kwa kusema kweli ya moyo wako hadi sasa kuna wanasiasa wangapi wameishatiwa ndani na wengine kuhukumiwa kwenda hela.
Wangapi hadi sasa wanakesi mahakamani? Huo ndio ukweli wenyewe
 
Acha uwongo kama hujui kitu kaa kimya.
Rais ni executive power kwa hiyo yupo kiharali kuhudumiwa kila kitu hata mavazi.
Analipiwa kila kitu labda uhai tu
Uraisi si lelemama kama unavyofikili, ktk ulimwengu yeye ni next to God
Kwahiyo anachosema zito ndicho chenyewe na ndio ukweli huo hata kama unauma.
Hivi nikikuliza kazi ya rais ni nini? Utajibu nini? Je? Kama hizo huduma unazozitaja anapewa bure angezipata Bila kuwa rais? Je kama angekuwa Kuwa sio rais angezipata? Basi majibu yake ni kwamba kazi yake ndo humpa ujira wake wakupata huduma hizo Bure, jibu hali bure wala halali bure anatokea mpumbavu anasema rais Ana kula bure na kulala bure ndo maana hawajali wenye njaa hii si sahihi
 
Back
Top Bottom