bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,054
- 2,379
Huna jipya jpm siyo fisadiMambo mengine yanaanza kidogo kidogo na watu wanachukulia utani. Hata ukifuatilia ya Bokassa ilikuwa kidogo kidogo na watu walidharau hivi hivi.
Huna jipya jpm siyo fisadiMambo mengine yanaanza kidogo kidogo na watu wanachukulia utani. Hata ukifuatilia ya Bokassa ilikuwa kidogo kidogo na watu walidharau hivi hivi.
Yupo mtaa wa ufipa ofisi za chadomo.jamani je beni wetu yuko wap
Zito hana jipya kawatosa viongozi wake huko kigoma.Jimboni kwakwe wana muhitaji,aache siasa za hizi
Katoroka?Dw wanasema kuwa wana tetesi kuwa zitto kabwe ametorokea nchi jirani kuhofia kukamatwa
Chanzo:: Dw habari
Lakini kumbuka huyu mtu anamshahara huyu! Tena mshahara mkubwa tu usiokatwa kodiHivi nikikuliza kazi ya rais ni nini? Utajibu nini? Je? Kama hizo huduma unazozitaja anapewa bure angezipata Bila kuwa rais? Je kama angekuwa Kuwa sio rais angezipata? Basi majibu yake ni kwamba kazi yake ndo humpa ujira wake wakupata huduma hizo Bure, jibu hali bure wala halali bure anatokea mpumbavu anasema rais Ana kula bure na kulala bure ndo maana hawajali wenye njaa hii si sahihi
Tatizo sio mshahara kwani katiba ya jamhuri inasema aje? Juu ya malipo ya rais na huduma zingine? Some some katiba ya 1977 itakusaidia kukuza ufahamu juu ya haki za rais kikatiba. Vinginevyo utakuwa unataka ligi na mimi siwezi.Lakini kumbuka huyu mtu anamshahara huyu! Tena mshahara mkubwa tu usiokatwa kodi
HahahahaZito hana jipya kawatosa viongozi wake huko kigoma.
Siasa zako My Zito hazijajengwa juu ya msingi imara,rejea mafundisho ya Yesu,ukijenga nyumba juu ya mchanga itachukuliwa na pepo au mafuriko,
Taarifa zinasema eti umetorokea nchi jirani,sioni mantiki kwa nini utoroke nchi,kama kweli wewe ni mtanzania na umezaliwa hapa sioni sababu ya kutoroka,
Nikikumbuka jinsi ulivyovuruga chama kilichokule Chadema kwa siasa zako zilizojaa tamaa na unafiki napata picha wewe in MTU was namna gani,
Siasa zako ni zile za kutafuta umaarufu na madaraka,nikijaribu kuangalia background yako hainishawishi kukuita mwanasiasa aliyekomaa,
Sijawahi kufanya kazi na wewe lakini nahisi waliofanya kazi na wewe umewapa shida sana,
Point unazojaribu kujenga kuhusu utawala sidhani kama zitakusaidia,nia na madhumuni yako ni kujijenga kisiasa kwa sababu uliharibu huko nyuma,tamaa ya madaraka na uchu unakusumbua sana Zito,siasa zako ni nyepesi sana sana,achana na kusumbuana na serikali ya Magufuli nafikiri hutaiweza,wanasiasa tumeamua kukaa pembeni sio kwa kupenda ila kutokana na hali halisi,
Utapotea moja kwa moja kama Dr SLA au utarudi? Tuachieni nchi yetu tumechoka na wanasiasa kama nyie
Wanasema hakuna taarifa rasmi kama yupo nchini ama la..
Lakini wanasema yupo salama na wanawasiliana nae
Lol. Haya mkuuWewe ni mwinyi mpekuzi
Eti mpiga Kelele![emoji16][emoji16]umenikumbusha zama za umonita wa darasa.Kwakweli mimi leo nimeshangaa sana kusikia yule kidume mpiga kelele anayepinga mafisadi na anayepinga ufisad uchwara kukimbia nchi yake
Kipi kimekukimbiza ndugu zito una kosa gan au unafuta kiki baada ya kukosa hoja
Kama kweli wewe ni mwanaume zito simama usikimbie unamuogopa nan nyie ndo mnatuambia sisi wananchi tuandamane wakati nyie mnakimbia hovyo hovyo tu tumechoka na nyie wanasiasa uchwara
Tuampdate Tafadhali wengine hatuna redio hapa tulipo mkuu
Nani?Hivi kwa nini ana PHD na hajui kingereza?.
Ni kweli mkuu issue ya kulipa faini imkimbize have wezekani kuna gum hatulijuiHii ishu hata sijaielewa
Ni kwa nini Zitto Kabwe aikimbie gari yake na kumwacha dereva wake tu?
Hivi sababu ya hii kitu yaweza kuwa kama polisi wanavyoeleza tu, kwamba, anatumia gari isiyo na nyaraka halali za umiliki wake au kuna jambo jingine kubwa zaidi ya hili?
Je, kama mtu yeyote anatumia gari ama chombo chochote cha moto pasipo ku - comply na sheria za barabarani si anakuwa kosa la kawaida tu la kitrafiki ambalo adhabu yake ni faini tu za hapohapo?
Mimi nahisi kuna jambo kubwa zaidi analotafutiwa huyu bwana na pengine anaweza kuishia kule kule waliko kina Godbless Lema au Lijualikali.
Aidha kuna watu wema wanaompenda ZZK ndani ya "system" na "cartel" hiyo waliondaa "mtego huo" aliowekewa wamemtonya na jamaa kuingia mitini kusikojulikana ili kujiokoa mwenyewe!!
Na hii ni haki yake kabisa, na amefanya vyema....
Hizi mbinu za wapinzani ni za kitooto,
Kesho pia utasikia fulani katokomea kusikojulikana, then kwa kushawishia na watu fulani watakimbilia UN na kudai wapinzani wanawekwa kizuizini Tanzania ndio maana tunaomba hifadhi ya kisiasa.
Lengo ni kumchafua JPM aonekane anakandamiza demokrasia nchini