Utawala wa mkono wa chuma!hahahaha jamaa amejificha sasa ana kimbia nini?
Banned!!Who care??
Sanaa chipukizi kwa TZ.Mkimbizi wa kisiasa. Inanikumbusha historia ya Wazulu na Waswazi.
kamlete basiYupo mtaa wa ufipa ofisi za chadomo.
Madeni yamezidi anatafuta sababu kijana nilimwani lakini imani yangu inaanza kunitoka kidogo kidogo naanza kuuona unafiki wake japo siwezi kumuita msaliti. Wakati magufuli anafungua bunge alijitahidi sana kujipendekeza labda alijua angepewa nafasi kaona mwaka unapita hajapata lolote siyo yule wa Novemba 2015. Mwandishi moja mahili sana wa blog ndugu Legman Maloto kamuandika vizuri sana huyu jamaa Zitto Kabwe. Alibandika picha yake na Magufuli akijiandika ni rais wa Sita baada ya magufuli.Ameshakata tamaa na kachama kake ka ACT hakawezi toka tena kwa aina hii ya utendaji mzuri wa JPM. Kama cdm wanahaso vipi kwa ACT
...Nchi gani?,..taja!Nchini Tanzania ripoti zilizozagaa katika baadhi ya vyombo vya habari zinasema Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania Zitto Kabwe ameondoka nchini humo, baada ya kupata taarifa kwamba anatafutwa na vyombo vya dola. Ripoti hizo zinasema Kabwe kwa sasa amekimbilia nchi jirani.
Source: DW
PhD and not PHD!Hivi kwa nini ana PHD na hajui kingereza?.