Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
....
.....aiseehh
.....aiseehh
Hii ndio nchi inayochagulia wanasiasa nini cha kusema halafu hapo hapo mnataka washindane sawasawa jambo ambalo haliwezekaniEnzi nachunga ng'ombe nilipenda sana michezo ya kuchonganisha madume ya ng'ombe kupigana.
Hali hiyo imeniathiri sana hata katika maisha yangu mengine.
Kwamfano, mchezo unaochezwa sasa kati ya wanasiasa "miamba" kwa upande mmoja na serikali ya Magufuli kwa upande mwingine mimi ninafurahia sana.
Ukiangalia hawa wanasiasa wanaotimuliana vumbi na serikali awamu hii ni "muvi" ya kustarehesha sana. Watu wanaoongea hadi nyasi zinatetema! Lakini kukicha mtu "ndani" Mh! Unaanza kujiuliza huyu bingwa wa jukwaa kageukaje mfungwa? Tulidhani anasema siasa kumbe alikuwa anaropoka! Kwanini msomi asichuje mbichi na mbivu?
Kwa awamu iliyopita nani angeweza kuona Lema yupo rumande?
Nani angeona Zitto anaisepa kama tumbili, arrest "tukufu" iliyoandaliwa kwa ajili yake?
Ninaegemea upande mmoja, upande wa mshindi. Kwangu mimi mshindi ndiyo mpango mzima maana wanasiasa wa Afrika ni sawa na timu zetu za soka nchini. Ukiwekeza ushabiki wako katika timu flani, unaweza ukafa kwa presha itokanayo na ushabiki. Nimebaki kumshangilia anayeshinda, bila kujali ni,wa upande gani.
Fisadi mkubwa. Ameuza nyumba zetu. Amenunua kivuko kibovu, ameliingizia taifa hasara ktk samaki etcHuna jipya jpm siyo fisadi
Kwa namba za cm za nchi gan
Prove basi by documentation Ili na sisi tujue nyumba yako ipi iliyouzwa mkuu?Fisadi mkubwa. Ameuza nyumba zetu. Amenunua kivuko kibovu, ameliingizia taifa hasara ktk samaki etc
Ndio ujue kuna watu wanatumika kuvuruga amani ya nchi who knows huko alikokimbilia ndiko wanakomtumia!Yaani gari yangu ikiwa haina vibali naweza kutoroka nchi? Just use a little bit of common sense.
Ameenda kwao, kwani huyo naye ni mTZiii?Dw wanasema kuwa wana tetesi kuwa zitto kabwe ametorokea nchi jirani kuhofia kukamatwa
Chanzo:: Dw habari
Ndio ujue kuna watu wanatumika kuvuruga amani ya nchi who knows huko alikokimbilia ndiko wanakomtumia!
Mzee ofisadi ni sawa na moshi huwezi kuufuta.Prove basi by documentation Ili na sisi tujue nyumba yako ipi iliyouzwa mkuu?
Kumbe anasakwa kuonyesha document kama anazo si arudi tu akijificha ni jinaikaenda wapi
Haha hahah haaaa! "Vyakula tele"!!!Ameiba nini au ni mfuasi wa Yahaya?? Nchi hii ina amani tele, vyakula tele, maji tele kama ni mvua ni kwa wote. Yeye sio waziri wa Mali asili useme alitoa amri wafugaji wauliwe. Wala hajalima kwenye vyanzo vya maji ka yule mbunge mwenzake. Unakimbia nini Tz hii?? Nawaza tu
Haha hahah haaaa! "Vyakula tele"!!!
Nani anapropagate hapa kati yako na DW?Dw- Swahili imekuwa kama Uhuru na Tanzania Daima tu, ni mwendo wa propaganda tu.
Ameshakata tamaa na kachama kake ka ACT hakawezi toka tena kwa aina hii ya utendaji mzuri wa JPM. Kama cdm wanahaso vipi kwa ACT
Karibuni Nita Update hapa
Nimerekodi Audio imeshindikana Ku Upload hapa
-Dada aliyekua anahojiwa kakataa kukimbia kwa zitto Kabwe na wala hajakubali kuwa yupo Nchini amesema mpaka Kikao cha Chama kikae ndiyo wataongelea hilo.
-Zitto Kabwe yupo na ni mzima wa Afya ila haja sema yupo wapi ila anasema wanamawasiliano naye.
Inawezekana unaishi kuzimu Mimi sili vyakula Vya hukoTewe;
Inamaana nimeandika maajabu?? Mbona twaviona huko masokoni na kwenye magulio kule dodoma soko la mahindi?? We upo wapi mkuu tukuletee aina unayotaka? Hata mtori kwa wagonjwa upo ni weye tu
Ushawahi muona rais gani sokoni, Haruna zihaka mkuu wa nchi huandaliwa kila kitu pamoja n'a chakula ni sehemu y'a gharama za office n'a ndiomaana anaishi offisini. Hii yote ni kumfanya mkuu afikirie jambo moja ustawi wa nchi n'a wananchi wake kwa maslahi y'a wananchi.Kwani rais hapati mshahara hadi useme anakula bure dhihaka kwa watawala siyo nzuri. Pia ni kosa kisheria.