DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

DW: Zitto Kabwe ametorokea nchi jirani

Nani anapropagate hapa kati yako na DW?
Wao wana source ya information wanayotulisha, wewe unayo au unasubiri humu ndio ujiongeze na kujionyesha kuwa upo current? Learn to read between lines ili update dhima ya kikixhokusudiwa na yafaa udigest before erupting like volcano here.
Kisha acha dharau za kitoto. Unayoyaita magazeti ya udaku na huwezi kumiliki hata kijarida cha page tatu ni upungufu wa akili.
Au wewe ni salesman wa Uhuru na mzalendo na ili uishi lazima uiponde product ya mwingine? Sijui mnasomeaga wapi ujinga huu! Pathetic!
Vipi Ndugu, mbona povu jingi hivi, kwa hiyo hadi tumiliki vijaridu ndio tuwe na uhalali wa kusema DW- Swahili ni sawa na Tanzania Daima tu ?
 
Lisemwalo ....duh, jamaa alishindwa kukimbia wakati yuko single sasa anaamua wakati kuna bibie na kadogo!
Je, hii yaweza kuwa dalaili ya ugumu wa mambo maana kikombe cha akina Lema, Lijuakali, Mathew nk kisikie tu!
Unafurahia mabaya ya wengine?
 
Anakimbia ana kosa gani? Hilihili kosa la gari yake kutokuwa na documents muhimu?
Gari ni Chambo tu!! Fikiria gari linatembea kila siku na vizuizi kibaoo toka dar hadi kahama.....anakaguliwa document gani wanataka? Ile ilikuwa Chambo tu walimtaka yeye......wampe kesi shinyanga awe anashinda shinyanga kwenye kesi kila siku 14......inapoteza muda na focus! Pia akiwa kesi ataacha kuikosoa serikali hadharanii!!!! Angebadili style awe ana shambulia Bungeni pekeee!!!
 
Wakimuhoji msemaji wa chama, wamedai kuna taarifa kuwa Zitto amekimbilia nchi jirani.Hata hivyo msemaji huyo wa chama amedai swala hilo litatolewa taarifa ktk muda muafaka baada ya vikao vya chama kuketi.source DW habari ya saa 7
Zito ni kamanda mwoga aliyekimbia vitani, hafai kuongoza ACT na kujiita Kiongozi mkuu au ayatolah !
 
Ashukuruwe Mungu yakwamba Tz hatujapata akili ya Kuingia Msituni na kuanzisha Vurumai 😀😀😀😀
 
Mfia nchi yake ndo mwanaume kama Lema sasa inapokimbia tukueleweje?
 
Back
Top Bottom