Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Teh! Sasa, kama alikuwa anasema mambo mema kwa nini akimbie?! Kukimbia kwake kutathibitisha yalikuwa sio mema ..! Aende akajieleze polisi, na sio kujificha. He needs to defend his points..!
who caresWho care au who cares? I am not sure, tuelimishane. Tunajifunza
Nimeisoma nikiwa na njaa, sijala mchana, ila nimecheka kweli.Analeta fyokofyoko huyu kijana?nitarara nae mbere
Kwa mikoa ile aliyochoropokea atakuwa alikimbilia Kigoma na akaingia BurundiDw wanasema kuwa wana tetesi kuwa zitto kabwe ametorokea nchi jirani kuhofia kukamatwa
Chanzo:: Dw habari

Majigambo hayoAmeshakata tamaa na kachama kake ka ACT hakawezi toka tena kwa aina hii ya utendaji mzuri wa JPM. Kama cdm wanahaso vipi kwa ACT
Uchochezi, kumchonganisha kiongozi na watu wake.Kwann anapenda sana panua domo lake wakati huo hapendi mwili wake kuumizwa- cc wanatwambia tuandamane hili tukipokea kipigo waje kutusalimia mahospitalini-chezea zitto ww!
Nashindwa kuelewa anakimbia nini?Hivi Zito pamoja na ushujaa wote ule anakimbia kitu gani sasa! Kama ni issue ya polisi si aende tu akajisalimishe.
Nini kinamkimbiza?Rubbish thinking!!
Nini kinamkimbiza?
Nchini Tanzania ripoti zilizozagaa katika baadhi ya vyombo vya habari zinasema Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania Zitto Kabwe ameondoka nchini humo, baada ya kupata taarifa kwamba anatafutwa na vyombo vya dola. Ripoti hizo zinasema Kabwe kwa sasa amekimbilia nchi jirani.
Source: DW
Ana taarifa za kiintelijensia kuwa atafanywa Kama Lema au kupewa sumu ya kuua pole pole wakati akihojiwa, utawala huu ni katili Sana.Nchini Tanzania ripoti zilizozagaa katika baadhi ya vyombo vya habari zinasema Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania Zitto Kabwe ameondoka nchini humo, baada ya kupata taarifa kwamba anatafutwa na vyombo vya dola. Ripoti hizo zinasema Kabwe kwa sasa amekimbilia nchi jirani.
Source: DW
Ana taarifa za kiintelijensia kuwa atafanywa Kama Lema au kupewa sumu ya kuua pole pole wakati akihojiwa, utawala huu ni katili Sana.
Twambie yupo wapi coz na mimi namutafuta nina shida naye ya kifamilia
Kwani rais hapati mshahara hadi useme anakula bure dhihaka kwa watawala siyo nzuri. Pia ni kosa kisheria.Kwani uwongo